Tatizo la pumu

Tatizo la pumu

Finder boy

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2012
Posts
608
Reaction score
150
Jamani kifua kinabana hadi naishiwa nguvu kabisa hasa kipindi cha baridi, nimejaribu dawa za hospitali bila mafanikio. ushauri na msaada wenu.
 
Jamani kifua kinabana hadi naishiwa nguvu kabisa hasa kipindi cha baridi, nimejaribu dawa za hospitali bila mafanikio. ushauri na msaada wenu.
DAWA YA PUMU FANYA HIVI:

Dawa yenyewe ni :

Chukuwa karafuu 6 zitowe vichwa vyake kisha roweka hizo karafuu katika nusu glasi ya maji ya kunywa usiku kisha unakunywa maji yake asubuhi kabla hujala kitu. Fanya hivyo kwa muda wa siku 15. Sisemi kuwa inampa nafuu mgonjwa bali inamponyesha kabisa kwa uwezo wa Mungu.Tumia kisha uje hapa utupe Feedbak chanzo.MziziMkavu.
 
Back
Top Bottom