mwanyaluke
JF-Expert Member
- Jan 22, 2015
- 704
- 2,435
Kuna jamaa yangu anaumwa kansa ya ini, tumekwenda hospital za ndani tulichoambiwa ni kansa ya ini haina matibabu anachoweza fanyiwa chemotherapy, dawa za kumpunguzia maumivu huku akisubiri kifo chake, baada ya hap tumeambiwa tiba ni india na marekani, saali ni je kansa ya ini ina matibabu huoo ili jamaa yangu aende.