mwanyaluke
JF-Expert Member
- Jan 22, 2015
- 704
- 2,435
Kuna dawa moja kutoka india inaitwa organic india for hepatitis. Atumie pamoja na stemcells za celiifezy kwa muda wa miezi 3. Hio hali ataisasahau. Wasiliana na 0699254400.Kuna jamaa yangu anaumwa kansa ya ini, tumekwenda hospital za ndani tulichoambiwa ni kansa ya ini haina matibabu anachoweza fanyiwa chemotherapy, dawa za kumpunguzia maumivu huku akisubiri kifo chake, baada ya hap tumeambiwa tiba ni india na marekani, saali ni je kansa ya ini ina matibabu huoo ili jamaa yangu aende
India wanatibu 100%. Hawa wana vidonge vya kutibu Announcement: HCV Authorized Generics | Gilead.Kuna jamaa yangu anaumwa kansa ya ini, tumekwenda hospital za ndani tulichoambiwa ni kansa ya ini haina matibabu anachoweza fanyiwa chemotherapy, dawa za kumpunguzia maumivu huku akisubiri kifo chake, baada ya hap tumeambiwa tiba ni india na marekani, saali ni je kansa ya ini ina matibabu huoo ili jamaa yangu aende
Mungu akubariki,Kuna dawa moja kutoka india inaitwa organic india for hepatitis. Atumie pamoja na stemcells za celiifezy kwa muda wa miezi 3. Hio hali ataisasahau. Wasiliana na 0699254400.
Kuna dawa moja kutoka india inaitwa organic india for hepatitis. Atumie pamoja na stemcells za celiifezy kwa muda wa miezi 3. Hio hali ataisasahau. Wasiliana na 0699254400.
Akiombewa kwa rehema za Mungu atapona...Kuna jamaa yangu anaumwa kansa ya ini, tumekwenda hospital za ndani tulichoambiwa ni kansa ya ini haina matibabu anachoweza fanyiwa chemotherapy, dawa za kumpunguzia maumivu huku akisubiri kifo chake, baada ya hap tumeambiwa tiba ni india na marekani, saali ni je kansa ya ini ina matibabu huoo ili jamaa yangu aende
Cancer ipo Stage ipi?Kuna jamaa yangu anaumwa kansa ya ini, tumekwenda hospital za ndani tulichoambiwa ni kansa ya ini haina matibabu anachoweza fanyiwa chemotherapy, dawa za kumpunguzia maumivu huku akisubiri kifo chake, baada ya hap tumeambiwa tiba ni india na marekani, saali ni je kansa ya ini ina matibabu huoo ili jamaa yangu aende
Hepatits ni kisababishi kimojawapo cha saratani ya ini.Mkuu sorry sana mimi ndugu yangu imanuel alifarik kwa hepatitis alichelewa ika develope cancer.hakuwa anakunywa pombe kama mimi..swali ni je hiyo jamaa wako anakunywa?
Ndo zao Sana mkuuVizuri. Kama atapona.
Japo kuna matapeli wengi wanatumia fursa kwenye magonjwa hatari.
Wanajifanya wana dawa kutoka india ama japan ama brazili.
Kumbe wametengeneza hapa hapa kwa mitishamba. Kisha wakabandika lebo za made in india. Kisha wanapiga watu hela na dawa hazitibu wala nini
Unakuta Majani ya muarubaini yamesagwa kisha yakapakiwa kwenye package nzuri na lebo ya made in india wameweka. Kisha wanakuuzia milioni moja kwa dozi.
Kumbe upigaji tu.
Wanajua sababu unaumwa huna jinsi lazima ununue.
Unataka muua mwenzakoKuna dawa moja kutoka india inaitwa organic india for hepatitis. Atumie pamoja na stemcells za celiifezy kwa muda wa miezi 3. Hio hali ataisasahau. Wasiliana na 0699254400.
Hiyo inaambukizaMkuu sorry sana mimi ndugu yangu imanuel alifarik kwa hepatitis alichelewa ika develope cancer.hakuwa anakunywa pombe kama mimi..swali ni je hiyo jamaa wako anakunywa?
Poleni sana.Kuna jamaa yangu anaumwa kansa ya ini, tumekwenda hospital za ndani tulichoambiwa ni kansa ya ini haina matibabu anachoweza fanyiwa chemotherapy, dawa za kumpunguzia maumivu huku akisubiri kifo chake, baada ya hap tumeambiwa tiba ni india na marekani, saali ni je kansa ya ini ina matibabu huoo ili jamaa yangu aende
Haina mahusiano na pale katidah, pale kati patam shida ni hizi STDs