R Rodgers Bernard Member Joined Oct 14, 2018 Posts 66 Reaction score 63 Jan 27, 2019 #1 Ndugu zangu ni binti yangu ana miaka 6 sasa ,siku mbili zilizopita limetokea tatizo la shingo yake kushindwa kugeuka kama kawaida yaani akitaka kugeuka anageuka mwili mzima,naomba msaada wa anayejua tatizo hili haswa linasababishwa na nini? Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu zangu ni binti yangu ana miaka 6 sasa ,siku mbili zilizopita limetokea tatizo la shingo yake kushindwa kugeuka kama kawaida yaani akitaka kugeuka anageuka mwili mzima,naomba msaada wa anayejua tatizo hili haswa linasababishwa na nini? Sent using Jamii Forums mobile app
wined JF-Expert Member Joined Nov 1, 2015 Posts 2,294 Reaction score 2,781 Jan 27, 2019 #2 Sababu ni nyingi mno kikubwa mpleleke hospitali kabla hali haijawa mbaya Fanya kazi kwa bidii
Aigoo JF-Expert Member Joined Feb 27, 2015 Posts 3,124 Reaction score 2,819 Jan 27, 2019 #3 Nenda hospital inaweza kuwa typhoid Sent using Jamii Forums mobile app
muafi JF-Expert Member Joined Oct 6, 2015 Posts 2,557 Reaction score 6,128 Jan 28, 2019 #4 Pia inaweza kuna presha