Rodgers Bernard
Member
- Oct 14, 2018
- 66
- 63
Ndugu zangu ni binti yangu ana miaka 6 sasa ,siku mbili zilizopita limetokea tatizo la shingo yake kushindwa kugeuka kama kawaida yaani akitaka kugeuka anageuka mwili mzima,naomba msaada wa anayejua tatizo hili haswa linasababishwa na nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app