Strictly Syrup
JF-Expert Member
- Aug 4, 2013
- 1,227
- 1,818
Natumaini Jumapili ya Leo ni njema kwenu nyote ndugu, ni jambo la kushukuru.
Niende moja kwa moja kwenye mada. Mimi ni mpenzi wa muziki sana, napenda kusikiliza na kutengeneza muziki. Sometimes natumia hata robo tatu ya siku kusikiliza muziki na kutengeneza. Lakini kuna tatizo limenikumba kama wiki tatu sasa, kuna muda sikio moja la upande wa kushoto linakuwa kama linapitisha upepo hivi, na nikichokonoa sikio kwa kidole napata maumivu fulani.
Hii hali imenitisha kidogo, na inatokea haswa mida ya usiku wa manane kama nipo macho. Naombeni mnisaidie ushauri, kama kuna watalaam, nitangulize shukrani.