Strictly Syrup
JF-Expert Member
- Aug 4, 2013
- 1,227
- 1,818
Eutchian dysfunction could be the issue au Cerumen impaction.Natumaini Jumapili ya Leo ni njema kwenu nyote ndugu, ni jambo la kushukuru.
Niende moja kwa moja kwenye mada...
Kwa hiyo Sikio la Kushoto Kusikia Kelele Kama Upepo huwa unapata hayo matatizo usiku wa manane? au wakati wowote ule?Ukitumia dawa za Hospitali hujapona nione mimi kwa wakati wako ili nipate kukutibia maradhi yako.Natumaini Jumapili ya Leo ni njema kwenu nyote ndugu, ni jambo la kushukuru.
Niende moja kwa moja kwenye mada...
Nashukuru sana nduguEutchian dysfunction could be the issue au Cerumen impaction.
Fika hospitali ufanyiwe Otoscopy
Sawa mkuu nashukuru, lakini kwa maelezo yako inawezekana ikawa ni mambo tofauti na physical health??Kwa hiyo Sikio la Kushoto Kusikia Kelele Kama Upepo huwa unapata hayo matatizo usiku wa manane? au wakati wowote ule?Ukitumia dawa za Hospitali hujapona nione mimi kwa wakati wako ili nipate kukutibia maradhi yako.
Mkuu kuna wengine mpaka leo ndo tumepoteza uwezo wa kusikia sauti vizuri kutokana na mazingira unatusaidiajeKwa hiyo Sikio la Kushoto Kusikia Kelele Kama Upepo huwa unapata hayo matatizo usiku wa manane? au wakati wowote ule?Ukitumia dawa za Hospitali hujapona nione mimi kwa wakati wako ili nipate kukutibia maradhi yako.
Hii hali ikitokea usiku wa manane inakua ni nini?Kwa hiyo Sikio la Kushoto Kusikia Kelele Kama Upepo huwa unapata hayo matatizo usiku wa manane? au wakati wowote ule?Ukitumia dawa za Hospitali hujapona nione mimi kwa wakati wako ili nipate kukutibia maradhi yako.
Ndiyo mara nyingi sana ni usiku wa manane, haswa mida ambayo najaribu kutafuta usingizi. Saa nane hivi saa tisa.. nikawa nahisi kama nimekuwa exposed kwenye high frequency sound, nikawa nimepata tatizo, sasa nikataka kujua kama nimepata damage yoyote, au kama nimepata muongozo ni upi.Kwa hiyo Sikio la Kushoto Kusikia Kelele Kama Upepo huwa unapata hayo matatizo usiku wa manane? au wakati wowote ule?Ukitumia dawa za Hospitali hujapona nione mimi kwa wakati wako ili nipate kukutibia maradhi yako.
Hii hali inatisha, yaani kama mtu anapuliza upepo hivi sikioni mwako.Hii hali ikitokea usiku wa manane inakua ni nini?
Kuna kipindi ilikuwa inanitokea usiku wa manane au nikikaa sehemu peke yangu nikiwa nimetulia.
Au kama vile mvua kubwa sana yenye mchanganyiko na radiHii hali inatisha, yaani kama mtu anapuliza upepo hivi sikioni mwako.
Huu ugonjwa unaitwa Tinnitus
Mimi ninao mda mrefu sana na tiba sina mpaka leo
Sikio langu moja linaunguruma mpaka unakosa raha
Kama gari linakuja kwa mbali na mchanganyiko wa muungurumo wa upepo
Ina kera sana hasa usiku ukitaka kulala ndio karaha sana
Haina mazoea ila nalala tu kwa uchovu na mda ukifika
Exactly sound kama hizi, niliingia google wakaniambia linaitwa Tinnitus kama memba mwingine alivyosema hapo juu. Lakini nikaleta mjadala hapa nipate uhakika zaidi.Au kama vile mvua kubwa sana yenye mchanganyiko na radi
Pia hatua hiyo lazima niiexperiece wakati nikifanya meditation/tahajudi... Hatua hiyo ikipita ndio unakuja ukimya ambao sijawahi kuusikia kwenye mazingira ya kawaidaExactly sound kama hizi, niliingia google wakaniambia linaitwa Tinnitus kama memba mwingine alivyosema hapo juu. Lakini nikaleta mjadala hapa nipate uhakika zaidi.
Ninakupa Ushauri nenda Hospitali kamuone Mtaalam wa magonjwa ya masikio akupime na atakupa dawa upate kutumia .Endapo dawa ukitumia hujapona nione mimi kwa wakati wako nipate kukutibia na utapona maradhi yako.Ndiyo mara nyingi sana ni usiku wa manane, haswa mida ambayo najaribu kutafuta usingizi. Saa nane hivi saa tisa.. nikawa nahisi kama nimekuwa exposed kwenye high frequency sound, nikawa nimepata tatizo, sasa nikataka kujua kama nimepata damage yoyote, au kama nimepata muongozo ni upi.
Nione mimi nipate kukutibia na utapona ukitumia dawa zangu.Huu ugonjwa unaitwa Tinnitus
Mimi ninao mda mrefu sana na tiba sina mpaka leo
Sikio langu moja linaunguruma mpaka unakosa raha
Kama gari linakuja kwa mbali na mchanganyiko wa muungurumo wa upepo
Ina kera sana hasa usiku ukitaka kulala ndio karaha sana
Haina mazoea ila nalala tu kwa uchovu na mda ukifika
Kama unao huo ugonjwa nitafute mimi ili nipate kukutibia ugonjwa wa masikio kuunguruma Ringing aka Tinnitus hakuna dawa ya hospitali itakayo weza kukutibu hayo maradhi na sio rahisi kwa dawa za kizungu kukuponyesha Maradhi ya Masikio kuunguruma.Hii hali ikitokea usiku wa manane inakua ni nini?
Kuna kipindi ilikuwa inanitokea usiku wa manane au nikikaa sehemu peke yangu nikiwa nimetulia.
Unatumia robo tatu cku kusikiliza muziki?Natumaini Jumapili ya Leo ni njema kwenu nyote ndugu, ni jambo la kushukuru.
Niende moja kwa moja kwenye mada...
Mimi ni mpenzi wa muziki sana, napenda kusikiliza na kutengeneza muziki. Sometimes natumia hata robo tatu ya siku kusikiliza muziki na kutengeneza. Lakini kuna tatizo limenikumba kama wiki tatu sasa, kuna muda sikio moja la upande wa kushoto linakuwa kama linapitisha upepo hivi, na nikichokonoa sikio kwa kidole napata maumivu fulani.
Hii hali imenitisha kidogo, na inatokea haswa mida ya usiku wa manane kama nipo macho. Naombeni mnisaidie ushauri, kama kuna watalaam, nitangulize shukrani.
Nione kwa wakati wako ili niweze kukutibia maradhi yako.Mkuu kuna wengine mpaka leo ndo tumepoteza uwezo wa kusikia sauti vizuri kutokana na mazingira unatusaidiaje
Kama upo Dar nenda Ekenywa Hospital, ipo magomeni mwembechai. Me nilishawai pata tatizo la masikio nikatibiwa pale. Wanae specialist wa masikio kabisa.Natumaini Jumapili ya Leo ni njema kwenu nyote ndugu, ni jambo la kushukuru.
Niende moja kwa moja kwenye mada...
Mimi ni mpenzi wa muziki sana, napenda kusikiliza na kutengeneza muziki. Sometimes natumia hata robo tatu ya siku kusikiliza muziki na kutengeneza. Lakini kuna tatizo limenikumba kama wiki tatu sasa, kuna muda sikio moja la upande wa kushoto linakuwa kama linapitisha upepo hivi, na nikichokonoa sikio kwa kidole napata maumivu fulani.
Hii hali imenitisha kidogo, na inatokea haswa mida ya usiku wa manane kama nipo macho. Naombeni mnisaidie ushauri, kama kuna watalaam, nitangulize shukrani.