Tatizo la sikio la kushoto: Kusikia Kelele Kama Upepo Unapita

Ninakupa Ushauri nenda Hospitali kamuone Mtaalam wa magonjwa ya masikio akupime na atakupa dawa upate kutumia .Endapo dawa ukitumia hujapona nione mimi kwa wakati wako nipate kukutibia na utapona maradhi yako.
Sawa Mkuu, Nashukuru.
 
Samahani kwa maswali mengi, lakini natamani kujifunza. Hii hali ikiendelea ina madhara makubwa??
 
Kama upo Dar nenda Ekenywa Hospital, ipo magomeni mwembechai. Me nilishawai pata tatizo la masikio nikatibiwa pale. Wanae specialist wa masikio kabisa.
Ngoja niitunze hii comment, mimi sikio langu la kushoto linanizingua kinoma. Yaani ni kama linauma lakini maumivu siyo makali kihivyo ila nakereka kweli.
 
Unatumia robo tatu cku kusikiliza muziki?
Unakuaaidia nn jaman?
Acha ushamba.
Kuna watu ni Studio-producers, Sound Engineers, Mixing and Mastering producers.
Watu hawa muziki ndio kazi yao.
 
Asee na kwanini ni sikio la kushoto tuu mimi hii hali hujirudia kila mwaka kati ya mwezi wa pili hadi watano na hudumu kwa muda wa mwezi mmoja mpaka miezi mitatu kwa kifupi kipindi cha masika...
usikivu unapungua wa sikio moja nikikaa sehemu tulivu au usiku ndio najisikia mpaka mapigo yangu ya moyo na hizi kelele zisizoisha ni toka 2008 na kila mwaka lazima inipate sijui ni nini
 
Ngoja niitunze hii comment, mimi sikio langu la kushoto linanizingua kinoma. Yaani ni kama linauma lakini maumivu siyo makali kihivyo ila nakereka kweli.
Ushawahi kwenda hiyo Hospital (Ekenywa) na tatizo lako limeisha?
 
Ndugu nasumbuliwa na tinnitus nisaidie kujua ni njia gani ulitumia hadi ukapona? Tafadhari mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…