Tatizo la sikio msaada

gstar

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2011
Posts
790
Reaction score
1,373
Wana jf ninamdogo wangu anasumbuliwa sana na sikio linauma sana na wakati mwingine kuziba lakini halitoi uchafu wala maji. ametumia dawa nyingi za antibiotics kutoka hospitali mbalimbali bila mafanikio,
Hivyo naomba msaada kwa anayejua dawa yake au anayejua daktari anayeweza kumsaidia kwa sasa yupo dar
 
Waone watu wa ENT pale Muhimbili atapata uchunguzi wa kina na kupatiwa matibabu stahiki ndg vinavyosababisha maumivu ya sikio ni vingi so uchunguzi ni muhimu sana kwake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…