gstar
JF-Expert Member
- Jun 19, 2011
- 790
- 1,373
Wana jf ninamdogo wangu anasumbuliwa sana na sikio linauma sana na wakati mwingine kuziba lakini halitoi uchafu wala maji. ametumia dawa nyingi za antibiotics kutoka hospitali mbalimbali bila mafanikio,
Hivyo naomba msaada kwa anayejua dawa yake au anayejua daktari anayeweza kumsaidia kwa sasa yupo dar
Hivyo naomba msaada kwa anayejua dawa yake au anayejua daktari anayeweza kumsaidia kwa sasa yupo dar