William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,792
- 2,421
Magoli mchezaji aliyempigania na anakula nae ni Joshua Mutale budo. Lazima aanze piga ua. Na Fadlu kuondoka tu kawashika wasouth wawili. Za ndani kabisa.(kwa mujibu wa za ndani kabisa)
Mpanzu ni Try Again na wanaompenda Simba yani akina Matola.
Wale wa skauti wa Mo ni kujipigania hata kama una uwezo vipi utasugua benchi. Akina Kagoma, Kante na Kibu.
Kocha wanayemtaka ni watakayemuongoza. Wakati washabiki wanawaza matokeo viongozi wanawaza upigaji kwenye usajili ujao.
Matola yuko pale kuhakikisha wachezaji pendwa wa viongozi wanaokula na wajuu wanacheza. Fununu za chini ya kapeti wa Kuna kodi alizitoa Juma Mgunda akiwa Simba. Kwenye mahojiano alisema Kocha mzuri hamchukii mchezaji mzuri hawezi kumuacha nje mchezaji mzuri.
Leo ukifikiria kwanini Mohamed Hussein na Valentine Nouma kwa pamoja wanaondoka, Ngoma, Malone na Mavambo wanaondoka halafu anakuja Maema na De Lucky wanakuja kwa thamani ya zaidi ya bilioni 1. Huwezi elewa.
Wakati alipokuwa akiwapanga chama na Moses Phiri ambao viongozi wengine hawakuwataka kabisa pale Simba walikuwa hawalambi sumuni.
Ikaonekana Mgunda hawezi kuongoza wachezaji wakubwa.
Ngoja kupambazuke tutaona vingi