Mo aliandika kwenye mitandao wa x kuwa ametoa bilion 3 za usajili badae ahitaji lawama, lakini ukiangalia kwenye wachezaji walio sajiliwa sijaona huo usajili wa hizo bilion 3 ,moja kwa moja hizo hela zimeliwa na makanjanja.Unauhakika hizo hela zilitoka,simba ni wasanii sana
Na ww ukaamini?Mo aliandika kwenye mitandao wa x kuwa ametoa bilion 3 za usajili badae ahitaji lawama, lakini ukiangalia kwenye wachezaji walio sajiliwa sijaona huo usajili wa hizo bilion 3 ,moja kwa moja hizo hela zimeliwa na makanjanja.
Bado mtaongea sana.Baada ya kipigo cha kizembe jana nakuja na maoni yafuatayo;
Tangu Babra aondoke Simba Uswahili umerudi kwa kasi sana kwenye uongozi wa Simba, kwa hiyo hata Simba akiletwa Kocha na kusajiliwa wachezaji wengine wazuri hakuna kitakachobadilika iwapo watu wenye tabia za Uswahili wataendelea kuwa ndani ya uongozi wa Simba.
Kiashiria cha kwanza kuwa tatizo la Simba liko ndani ya uongozi ni kitendo cha kumbakisha Boko ndani ya kikosi msimu huu, kwa levo za Simba ya sasa Boko sio mchezaji anayestahili kuwa ndani ya kikosi cha Simba lakini cha kushangaza anapata mpaka namba fast 11.
Boko ambaye kwa sasa hana hata stamina ya kuidhibiti mpira hata wa pasi, moja kwa moja inaonekana kuwepo kwa Boko ndani ya Simba kunawanufaisha baadhi ya Viongozi wa Simba.
Kiashiria cha pili ni u'father unaooneshwa na baadhi ya wachezaji hapo Simba mfano; mzuri ni Ntibazonkiza, watu wanasema Miqson ameshuka kiwango lakini cha kushangaza Miqson ambaye huwa anacheza dakika ishirini katika mechi chache amekuwa na impact na faida kwenye matokea ya Simba kuliko Saido anayecheza dakika 90 na kila mechi.
Ni kwa sababu Miqson sio mtu anayepoteza pasi hovyo na huwa asaidia timu kukaba na ametoa baadhi ya assist za magoli, lakini upande wa Ntibazonkiza amekuwa ni mtu ambaye asilimia kubwa ya pasi zake aidha anyanganywe mpira kirahisi au ampasie adui!
Amekuwa muharibifu mkubwa wa movement za Simba pale anapopewa mpira ili aanzishe shambulizi, mara nyingi huwa ananyanganywa mpira kiurahisi na shambulizi kufa na pia huwa hakabi.
Ila pamoja na mapungufu yote hayo Saido amekuwa ni lazima aanze kila mechi na lazima acheze dakika 90 zote haijalishi amecheza vizuri au vibaya, hali hiyo inaonesha kuwa kuchezeshwa kila mechi kwa Saido ni maekekezo kutoka kwenye uongozi na sio matakwa ya Kocha.
Beki line ya Simba ilianza kuonesha udhaifu mkubwa tangu mwanzo wa ligi kwenye mchezo wa kwanza na bado ikaendelea kuonesha uozo karibia kila mechi lakini cha kushangaza hakuna jitihada yeyote iliyokuwa inaoneshwa na Kocha wala Uongozi kulitatua hilo.
Badala yake wachezaji wale wale wanaofanya makosa kwenye diffense line ndio hao hao wanachezeshwa kila siku licha ya kuwa Simba ina wachezaji wengi hawapewi nafasi kabisa. Nimesha andika zaidi ya nyuzi tatu juu ya mashaka yangu makubwa kwa beki ya Simba lakini watu wakanikejeli.
Halafu jana hakukuwa na ulazima wowote wa kuanzishwa kwa Manura jana, licha ya makosa mengi ya mabeki lakini pia Manura hakuwa kwenye mchezo kabisa.
Cha mwisho, kama Simba watafukuza benchi la ufundi wasisahau pia na makanjanja yaliyojazana hapo Simba yanayojiita 'Viongozi wa Simba', kumbe ndio maana Babra alifanyiwa figisu ili aondoke maana alikuwa amedhibiti makanjanja na madalali.
Yaani mpaka kichefuchefu, tena kama huyu sijui ndo mangungu ndo takataka kabisa yaani hata ongea yake inaonesha kabisa hajui chochote kuhusu mpira lakini eti ndo mwenyekiti wa Club.hayo mapungufu yameongelewa muda mrefu ila ukiongea kuna watu wanakuja kusema kwani we umetoa shilingi ngapi za usajili au wewe ndio kocha. Kwa kifupi viongozi waliopo Simba wako pale kama njia ya kupata umaarufu na sio kwa maendeleo ya timu. Kama unavyosema haiwezekani unamwacha kipa kama Kakolanya unaenda kutafuta kipa nje ambaye anakuja kukaa benchi. Unaacha wachezaji kama Okra, Banda unabaki na wachezaji wazee kama Boko na Saidoo.
Kocha kila siku anapanga wachezaji walewale iwe bonanza au mechi ya ushindani.
Mtani mbona hukulaumu pale mlipomuiba mchezaji uwanja wa ndege ila mkasifia sana hiyo kamati yenu ya usajiri.Mo anaweza kuwa ahusiki kwa sababu hapo simba kuna kamati ya usajili ndo inahusika na mambo yote Mo yeye anatoa hela tu, tangu Zakaria Hanspop afariki kamati ya usajili imejaa mambo ya hovyo.
Na Friends of Thiiimbaaa walirudishwa majuzi kati hapa.Baada ya kipigo cha kizembe jana nakuja na maoni yafuatayo;
Tangu Babra aondoke Simba Uswahili umerudi kwa kasi sana kwenye uongozi wa Simba, kwa hiyo hata Simba akiletwa Kocha na kusajiliwa wachezaji wengine wazuri hakuna kitakachobadilika iwapo watu wenye tabia za Uswahili wataendelea kuwa ndani ya uongozi wa Simba.
Kiashiria cha kwanza kuwa tatizo la Simba liko ndani ya uongozi ni kitendo cha kumbakisha Boko ndani ya kikosi msimu huu, kwa levo za Simba ya sasa Boko sio mchezaji anayestahili kuwa ndani ya kikosi cha Simba lakini cha kushangaza anapata mpaka namba fast 11.
Boko ambaye kwa sasa hana hata stamina ya kuidhibiti mpira hata wa pasi, moja kwa moja inaonekana kuwepo kwa Boko ndani ya Simba kunawanufaisha baadhi ya Viongozi wa Simba.
Kiashiria cha pili ni u'father unaooneshwa na baadhi ya wachezaji hapo Simba mfano; mzuri ni Ntibazonkiza, watu wanasema Miqson ameshuka kiwango lakini cha kushangaza Miqson ambaye huwa anacheza dakika ishirini katika mechi chache amekuwa na impact na faida kwenye matokea ya Simba kuliko Saido anayecheza dakika 90 na kila mechi.
Ni kwa sababu Miqson sio mtu anayepoteza pasi hovyo na huwa asaidia timu kukaba na ametoa baadhi ya assist za magoli, lakini upande wa Ntibazonkiza amekuwa ni mtu ambaye asilimia kubwa ya pasi zake aidha anyanganywe mpira kirahisi au ampasie adui!
Amekuwa muharibifu mkubwa wa movement za Simba pale anapopewa mpira ili aanzishe shambulizi, mara nyingi huwa ananyanganywa mpira kiurahisi na shambulizi kufa na pia huwa hakabi.
Ila pamoja na mapungufu yote hayo Saido amekuwa ni lazima aanze kila mechi na lazima acheze dakika 90 zote haijalishi amecheza vizuri au vibaya, hali hiyo inaonesha kuwa kuchezeshwa kila mechi kwa Saido ni maekekezo kutoka kwenye uongozi na sio matakwa ya Kocha.
Beki line ya Simba ilianza kuonesha udhaifu mkubwa tangu mwanzo wa ligi kwenye mchezo wa kwanza na bado ikaendelea kuonesha uozo karibia kila mechi lakini cha kushangaza hakuna jitihada yeyote iliyokuwa inaoneshwa na Kocha wala Uongozi kulitatua hilo.
Badala yake wachezaji wale wale wanaofanya makosa kwenye diffense line ndio hao hao wanachezeshwa kila siku licha ya kuwa Simba ina wachezaji wengi hawapewi nafasi kabisa. Nimesha andika zaidi ya nyuzi tatu juu ya mashaka yangu makubwa kwa beki ya Simba lakini watu wakanikejeli.
Halafu jana hakukuwa na ulazima wowote wa kuanzishwa kwa Manura jana, licha ya makosa mengi ya mabeki lakini pia Manura hakuwa kwenye mchezo kabisa.
Cha mwisho, kama Simba watafukuza benchi la ufundi wasisahau pia na makanjanja yaliyojazana hapo Simba yanayojiita 'Viongozi wa Simba', kumbe ndio maana Babra alifanyiwa figisu ili aondoke maana alikuwa amedhibiti makanjanja na madalali.
100•√Baada ya kipigo cha kizembe jana nakuja na maoni yafuatayo;

Baada ya kipigo cha kizembe jana nakuja na maoni yafuatayo;

Bila kumsahau sister TATUSijaongelea mechi ya jana mkuu ebu soma mada vizuri bali nime ongelea matatizo kiujumla yanayo ikumba simba.
Udhaifu wa beki ya simba haujaanza kuonekana jana bali ni wa siku nyingi ni basi tu timu pinzani hawakuwa makini tu.