Tatizo la Simba liko kwenye Uongozi

Tatizo la Simba liko kwenye Uongozi

Unauhakika hizo hela zilitoka,simba ni wasanii sana
Mo aliandika kwenye mitandao wa x kuwa ametoa bilion 3 za usajili badae ahitaji lawama, lakini ukiangalia kwenye wachezaji walio sajiliwa sijaona huo usajili wa hizo bilion 3 ,moja kwa moja hizo hela zimeliwa na makanjanja.
 
Simba hakuna viongozi pale, anzia katika usajili wao ndio utajua viongozi wa Simba wanatania tu. Angalia wanapomuajiri kocha, sijui wanatumia vigezo gani. Rudi, wakifeli ktk kusajili, badala ya kujirekebisha, wao ndio wanazidi kufeli. Na kikubwa, viongozi wa Simba majeuri na wanazalau. Waandishi wa habari wachambuzi, mashabiki wapenzi, mwaka wa tatu huu wanajaribu kuelezea shida na matatizo ya Simba, lakini wap kama hawasikii vile. Kujifunza wagumu, yani unataka kuvuka robo fainal kwa timu ile ile tena ambayo imeshuka kiwango. Ni vile tu mpra muda mwingine unakua na matokeo ya ajabu, lakini Simba jana wangekuwa wanafungwa goli tano katika mechi nyingine. Wana wachezaji wengi ambao, kama sio uongozi wa ovyo, walitakiwa waachwe. Wanacheza mpira wa historia. Simba naifananisha kama Man U, yani hata viongozi hawajui wanataka nini, zaidi ya wakikaa Azam TV. Utasikia Simba timu kubwa. Simba ina malengo makubwa. Alafu unamchukua Saido Geita aje umfungi Memolod au Onana, aje umfungi Wydad. Miaka mitatu nyuma nilishaona Simba ina shida karibu kila eneo, lakini usajili unafika wanasajili wachezaji wengi wa aina moja. Hawasajili kwa kuangalia shida yao, mfano hivi, nani asiyejua shida kubwa ya Simba inaanzia kwa viungo wao, na sio mwaka huu tu.
 
Mo aliandika kwenye mitandao wa x kuwa ametoa bilion 3 za usajili badae ahitaji lawama, lakini ukiangalia kwenye wachezaji walio sajiliwa sijaona huo usajili wa hizo bilion 3 ,moja kwa moja hizo hela zimeliwa na makanjanja.
Na ww ukaamini?
 
Angalia yanga walivyoachana na Yondani, Lamine Moro, Juma Abdul, Mukoko Tonombe yaani hawajengi urafiki na wachezaji na kuishi Kwa mazoea, hata kama ni mchezaji mkongwe kiwango kikishuka , au umri au nidhamu unaondolewa fasta.

Sasa hawa simba wanaleta uswahili na kujenga urafiki na wachezaji wakongwe na kuwaonea aibu kuachana nao.
 
Baada ya kipigo cha kizembe jana nakuja na maoni yafuatayo;

Tangu Babra aondoke Simba Uswahili umerudi kwa kasi sana kwenye uongozi wa Simba, kwa hiyo hata Simba akiletwa Kocha na kusajiliwa wachezaji wengine wazuri hakuna kitakachobadilika iwapo watu wenye tabia za Uswahili wataendelea kuwa ndani ya uongozi wa Simba.

Kiashiria cha kwanza kuwa tatizo la Simba liko ndani ya uongozi ni kitendo cha kumbakisha Boko ndani ya kikosi msimu huu, kwa levo za Simba ya sasa Boko sio mchezaji anayestahili kuwa ndani ya kikosi cha Simba lakini cha kushangaza anapata mpaka namba fast 11.

Boko ambaye kwa sasa hana hata stamina ya kuidhibiti mpira hata wa pasi, moja kwa moja inaonekana kuwepo kwa Boko ndani ya Simba kunawanufaisha baadhi ya Viongozi wa Simba.

Kiashiria cha pili ni u'father unaooneshwa na baadhi ya wachezaji hapo Simba mfano; mzuri ni Ntibazonkiza, watu wanasema Miqson ameshuka kiwango lakini cha kushangaza Miqson ambaye huwa anacheza dakika ishirini katika mechi chache amekuwa na impact na faida kwenye matokea ya Simba kuliko Saido anayecheza dakika 90 na kila mechi.

Ni kwa sababu Miqson sio mtu anayepoteza pasi hovyo na huwa asaidia timu kukaba na ametoa baadhi ya assist za magoli, lakini upande wa Ntibazonkiza amekuwa ni mtu ambaye asilimia kubwa ya pasi zake aidha anyanganywe mpira kirahisi au ampasie adui!

Amekuwa muharibifu mkubwa wa movement za Simba pale anapopewa mpira ili aanzishe shambulizi, mara nyingi huwa ananyanganywa mpira kiurahisi na shambulizi kufa na pia huwa hakabi.

Ila pamoja na mapungufu yote hayo Saido amekuwa ni lazima aanze kila mechi na lazima acheze dakika 90 zote haijalishi amecheza vizuri au vibaya, hali hiyo inaonesha kuwa kuchezeshwa kila mechi kwa Saido ni maekekezo kutoka kwenye uongozi na sio matakwa ya Kocha.

Beki line ya Simba ilianza kuonesha udhaifu mkubwa tangu mwanzo wa ligi kwenye mchezo wa kwanza na bado ikaendelea kuonesha uozo karibia kila mechi lakini cha kushangaza hakuna jitihada yeyote iliyokuwa inaoneshwa na Kocha wala Uongozi kulitatua hilo.

Badala yake wachezaji wale wale wanaofanya makosa kwenye diffense line ndio hao hao wanachezeshwa kila siku licha ya kuwa Simba ina wachezaji wengi hawapewi nafasi kabisa. Nimesha andika zaidi ya nyuzi tatu juu ya mashaka yangu makubwa kwa beki ya Simba lakini watu wakanikejeli.

Halafu jana hakukuwa na ulazima wowote wa kuanzishwa kwa Manura jana, licha ya makosa mengi ya mabeki lakini pia Manura hakuwa kwenye mchezo kabisa.

Cha mwisho, kama Simba watafukuza benchi la ufundi wasisahau pia na makanjanja yaliyojazana hapo Simba yanayojiita 'Viongozi wa Simba', kumbe ndio maana Babra alifanyiwa figisu ili aondoke maana alikuwa amedhibiti makanjanja na madalali.
Bado mtaongea sana.
 
hayo mapungufu yameongelewa muda mrefu ila ukiongea kuna watu wanakuja kusema kwani we umetoa shilingi ngapi za usajili au wewe ndio kocha. Kwa kifupi viongozi waliopo Simba wako pale kama njia ya kupata umaarufu na sio kwa maendeleo ya timu. Kama unavyosema haiwezekani unamwacha kipa kama Kakolanya unaenda kutafuta kipa nje ambaye anakuja kukaa benchi. Unaacha wachezaji kama Okra, Banda unabaki na wachezaji wazee kama Boko na Saidoo.
Kocha kila siku anapanga wachezaji walewale iwe bonanza au mechi ya ushindani.
 
Yaani mpaka kichefuchefu, tena kama huyu sijui ndo mangungu ndo takataka kabisa yaani hata ongea yake inaonesha kabisa hajui chochote kuhusu mpira lakini eti ndo mwenyekiti wa Club.

Na ukitaka kujua uongozi wa simba ulivyo hovyo ni pale walipo acha kumsajili Mdathiru Yahaya tena kwa bei ndogo wakaenda kumleta Sawa dogo tena kwa bei kubwa mno.
 
Mo anaweza kuwa ahusiki kwa sababu hapo simba kuna kamati ya usajili ndo inahusika na mambo yote Mo yeye anatoa hela tu, tangu Zakaria Hanspop afariki kamati ya usajili imejaa mambo ya hovyo.
Mtani mbona hukulaumu pale mlipomuiba mchezaji uwanja wa ndege ila mkasifia sana hiyo kamati yenu ya usajiri.
Mechi ya mzunguko wa pili tunawafunga 5tena.
 
Baada ya kipigo cha kizembe jana nakuja na maoni yafuatayo;

Tangu Babra aondoke Simba Uswahili umerudi kwa kasi sana kwenye uongozi wa Simba, kwa hiyo hata Simba akiletwa Kocha na kusajiliwa wachezaji wengine wazuri hakuna kitakachobadilika iwapo watu wenye tabia za Uswahili wataendelea kuwa ndani ya uongozi wa Simba.

Kiashiria cha kwanza kuwa tatizo la Simba liko ndani ya uongozi ni kitendo cha kumbakisha Boko ndani ya kikosi msimu huu, kwa levo za Simba ya sasa Boko sio mchezaji anayestahili kuwa ndani ya kikosi cha Simba lakini cha kushangaza anapata mpaka namba fast 11.

Boko ambaye kwa sasa hana hata stamina ya kuidhibiti mpira hata wa pasi, moja kwa moja inaonekana kuwepo kwa Boko ndani ya Simba kunawanufaisha baadhi ya Viongozi wa Simba.

Kiashiria cha pili ni u'father unaooneshwa na baadhi ya wachezaji hapo Simba mfano; mzuri ni Ntibazonkiza, watu wanasema Miqson ameshuka kiwango lakini cha kushangaza Miqson ambaye huwa anacheza dakika ishirini katika mechi chache amekuwa na impact na faida kwenye matokea ya Simba kuliko Saido anayecheza dakika 90 na kila mechi.

Ni kwa sababu Miqson sio mtu anayepoteza pasi hovyo na huwa asaidia timu kukaba na ametoa baadhi ya assist za magoli, lakini upande wa Ntibazonkiza amekuwa ni mtu ambaye asilimia kubwa ya pasi zake aidha anyanganywe mpira kirahisi au ampasie adui!

Amekuwa muharibifu mkubwa wa movement za Simba pale anapopewa mpira ili aanzishe shambulizi, mara nyingi huwa ananyanganywa mpira kiurahisi na shambulizi kufa na pia huwa hakabi.

Ila pamoja na mapungufu yote hayo Saido amekuwa ni lazima aanze kila mechi na lazima acheze dakika 90 zote haijalishi amecheza vizuri au vibaya, hali hiyo inaonesha kuwa kuchezeshwa kila mechi kwa Saido ni maekekezo kutoka kwenye uongozi na sio matakwa ya Kocha.

Beki line ya Simba ilianza kuonesha udhaifu mkubwa tangu mwanzo wa ligi kwenye mchezo wa kwanza na bado ikaendelea kuonesha uozo karibia kila mechi lakini cha kushangaza hakuna jitihada yeyote iliyokuwa inaoneshwa na Kocha wala Uongozi kulitatua hilo.

Badala yake wachezaji wale wale wanaofanya makosa kwenye diffense line ndio hao hao wanachezeshwa kila siku licha ya kuwa Simba ina wachezaji wengi hawapewi nafasi kabisa. Nimesha andika zaidi ya nyuzi tatu juu ya mashaka yangu makubwa kwa beki ya Simba lakini watu wakanikejeli.

Halafu jana hakukuwa na ulazima wowote wa kuanzishwa kwa Manura jana, licha ya makosa mengi ya mabeki lakini pia Manura hakuwa kwenye mchezo kabisa.

Cha mwisho, kama Simba watafukuza benchi la ufundi wasisahau pia na makanjanja yaliyojazana hapo Simba yanayojiita 'Viongozi wa Simba', kumbe ndio maana Babra alifanyiwa figisu ili aondoke maana alikuwa amedhibiti makanjanja na madalali.
Na Friends of Thiiimbaaa walirudishwa majuzi kati hapa.
 
100•√
 
Sijaongelea mechi ya jana mkuu ebu soma mada vizuri bali nime ongelea matatizo kiujumla yanayo ikumba simba.

Udhaifu wa beki ya simba haujaanza kuonekana jana bali ni wa siku nyingi ni basi tu timu pinzani hawakuwa makini tu.
Bila kumsahau sister TATU
 
Back
Top Bottom