Tatizo la Simba siyo Kocha

Mgunda hana uwezo wa kupewa kikosi cha timu yoyote kubwa. Huo ndo ukweli itakua ni kamari kubwa sana kumpa timu yenye presha mgunda mnawezakupoteana tena kwa misimu mingine miwili au mitatu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…