Tatizo la Simba siyo Kocha

Tatizo la Simba siyo Kocha

King Jody

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2022
Posts
1,834
Reaction score
3,456
Hivi karibuni kumekuwa na tetesi kuwa Simba wako mbioni kukamilisha usajili wa kocha mmoja kutoka Afrika ya Kusini. Kama tetesi hizi ni za kweli basi simba watakakuwa wanakosea, huu ni mtazamo wangu binafsi.

Tatizo la Simba lipo kwenye uongozi, wengi wao ni wapigaji ambao wanaangalia zaidi maslahi yao badala ya timu,
Wanasajili wachezaji wa kigeni wenye viwango vya kati ambao hawana tofauti na wazawa,

Kwa upande wa kocha mi nadhani wangempa nafasi kocha mzawa Juma Mgunda ambaye amefanya vizuri kwa muda mfupi alioakabidhiwa jukumu la kukaimu nafasi ya kocha mkuu.

Mgunda amekuwa akikaimu nafasi ya kocha mkuu kwa kipindi kifupi, japo anafanya vizuri lakini Simba wakimpata kocha mwingine wanamtema, hii ni dharau kwa makocha wetu wazawa, asikubali tena kutumika kama bazoka.

Nawasilisha.
 
Mgunda ndio wa kuipeleka Simba kimataifa!!??

kwa uzoefu upi?

Huu wa kucheza na timu loco

Mna utani sana nyie sasa hv mmeshachanganyikiwa
Acheni dharau...

Hakuna shabiki wa Simba anayejielewa atamdharau Mgunda...

Tulianza kushinda home and away mechi za kimataifa chini ya Mgunda leo unasema hawezi?
 
Hivi karibuni kumekuwa na tetesi kuwa simba wako mbioni kukamilisha usajili wa kocha mmoja kutoka Afrika ya kusini. Kama tetesi hizi ni za kweli basi simba watakakuwa wanakosea, huu ni mtazamo wangu binafsi.

Tatizo la Simba lipo kwenye uongozi, wengi wao ni wapigaji ambao wanaangalia zaidi maslahi yao badala ya timu,
Wanasajili wachezaji wa kigeni wenye viwango vya kati ambao hawana tofauti na wazawa,

Kwa upande wa kocha mi nadhani wangempa nafasi kocha mzawa Juma Mgunda ambaye amefanya vizuri kwa muda mfupi alioakabidhiwa jukumu la kukaimu nafasi ya kocha mkuu.

Mgunda amekuwa akikaimu nafasi ya kocha mkuu kwa kipindi kifupi, japo anafanya vizuri lakini Simba wakimpata kocha mwingine wanamtema, hii ni dharau kwa makocha wetu wazawa, asikubali tena kutumika kama bazoka.

Nawasilisha.
Mgunda ni mwajiliwa wa Simba Sports Club kule Simba Queen.Kilichofanyika ni mwajiri kumtoa Stoo kumpeleka reception.Kwa hiyo Wala Simba haijampuuza na kumdharau.
 
Du! FUTA try again ataki kujihuzuru
Mkuu huyu kawekwa na MO. Mwenye uwezo wa kumuondoa kwenye hiyo nafasi ni Mo wala hakuna mtu mwingine. Mo akiamua dakika sifuri tu anamtoa kwenye hiyo nafasi. Swali la msingi hapa je ni kwanini Mo kamvumilia mpaka leo hii licha ya madudu yote aliyofanya kwa takribani kiaka mitatu aliyoachiwa na Mo aisimamie Simba?
 
Mo energy naye tapeli
 
Back
Top Bottom