Tatizo la Simba, timu inaendeshwa kienyeji

Kinesi kasema Simba haina njaa ya bilioni ishirini na tano

Hawa wazee inabidi wafe ili timu ipige hatua

Okay assuming ndio haina...sasa hiyo samba ina uwezo wa kujiendesha?

Mbona kina hanspope wanaibaka kila siku?
 
Mpira wa tanzania ni ovyo tu sio simba ujiulizi timu 8zote zilzoshirki mapinduzi cup moja tu ndo ilikua timu mwalikwa URA na ikachukua ndoo
 
Inabidi simba ibadilike kwa mwendo huu inapeleka mshabiki kila siku kunapokua na mechi inabidi wawe na panadol kwa ajili ya kupunguza maumivu inaboa sana uongozi inabidi wawe na uchungu na timu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…