Tatizo la Simba, timu inaendeshwa kienyeji

Tatizo la Simba, timu inaendeshwa kienyeji

Ukiondoa Klabu ya Azam, ambayo uendeshaji wake upo kisasa, klabu zingine zote kubwa hapa Tanzania plus TFF zinaendeshwa kihuni, kienyeji na kiujanja ujanja tu. Hazina vision wala mission, zipo zipo tu. Simba na Yanga, zote ni pasua kichwa. Zinaingiza pesa nyingi sana lakini zina mifumo mibovu balaa ya kutumia pesa.
kwa ujumla ni kwamba klabu zote zinaendeshwa na watu mbumbu sana na wapiga dili tu.japokuwa wanajifanya wanajua hawajui chochote. hasan dalali na kadguda walifanya kazi kubwa sana na ya mfano walipoiacha klub ikaangukia mwa wahuni tu.
 
'Viongozi wengi wa klabu ya simba elimu ndogo 'hapo umeongea point hicho ndicho kinaimaliza simba

Mtu kaa Hans sielewi kazi yake hasa. Watupishe watuachie klabu. Tunaumia na matokeo haya.
 
Viongozi hawa waliopo ni wabovu. Haya matokeo ya leo utasikia kocha anafukuzwa. Wakati maandalizi yenyewe hayakuwepo.
Mkurugenzi wa ufundi simba ni nani (Technical director)
Nani mwalimu wa utimamu wa mwili kwenye timu?
Nani mkurugenzi wa masuala ya itifaki katika timu? An?yetambua wachezaji wanakula nini kambini, wanalipwaje, wanalalaje, maisha yai nje ya mpira wa miguu.
Simba na timu nyingi za Tanzania zipo kienyeji.
 
Yani leo bado tuna mfumo wa MWEKA HAZINA. Mfumo wa kizamani kabisa.
 
Yanga wana afadhari kuliko Simba fatilia sajiri ya Simba
 
......mie nimeshajitoa.....nipo zangu LIPULI (wekundu wa nyanda za juuuuuu)
 
Mkuu, hicho kiwanja au shamba la maharage? Et mtani Najua kwangu nako hoi Ila tunaulizana tu. Yanga oyeeee!
 
Ishu kwa Mo Dewji kuitaka Simba, kwanza yeye ni simba damu, pia ni mfanyabiashara anayeona fursa za kupata faida, pili ni kuwa simba na yanga zina FANBASE kubwa sana! Viongozi wa hizi timu wangekuwa smart, kuna hela nyingi sana!

Azam itaendelea kuwa timu inayoendeshwa kisasa, ila kamwe upande wa fanbase hawataifunika simba au yanga! Hata miaka mingi ijayo, hizi timu mbili zitaendelea kuwa na fanbase kubwa! Timu zingine kama Azam zitaendelea kuwa na fans wa mkopo, Azam wakicheza na simba, watawapata fans wa yanga na yanga wakicheza na azam watapata fans wa simba, simple!

Nakuunga mkono...mbeya city ins fanbase kubwa kuliko azam...azam imefikia hatua ya kulipia viingilio mashabiki wake kwenye baadhi ya mechi na wanavilipa vikundi vya ushangikiaji ambavyo wengi wao ni mashabiki wa yanga na simba ....na pia wanalipia gharama za safari kwa vikundi vya ushangiliaji wakati vikundi ka hivyo simba na yanga wanajigharamia...nadhani dewji amelistukia hilo ,azam bado wana safari ndefu
 
Sio kila jambo baya linalofanywa na timu ya simba linafananishwe na yanga, Kuna mchezaji wa yanga anaelalamikia sehemu ya kulala!! Mishahara je!!!?
Tumia akili unapocomment

Majabvi mi maskini ubishi wangu umeniponza, Ngoma na Kamusoko washiba Jangwani, nakufa hapa kwa nini?
 
Hans Poppe ajitazame upya, inajidhihirsha kuwa tatizo la Simba ni Hans Poppe kwa sababu anajenga na kubomoa yeye mwenyewe. Ubabe haujawahi kuwa suluhu ya kudumu ya matatizo. Apunguze ubabe na jazba ajenge timu

Najua Simba wengi hawatanielewa lkn Hans Poppe ndio kikwazo kikubwa
 
Mzee inaonesha hunaifahamu simba lakimi siyo deep, kuna kiumbe hai anaitwa Kaburu acha kabisa!!
 
Mzee inaonesha hunaifahamu simba lakimi siyo deep, kuna kiumbe hai anaitwa Kaburu acha kabisa!!

Kaburu namsikia kila mara akilalamikiwa lkn Hans Poppe ni mbabe hakuna na wachezaji wanamuogopa kama nini. Kila bifu analitolea ufafanuiz wa ubabe. Haiwezekani ndani ya muda mfupi wachezaji zaidi ya wanne walalamikie suala la nyumba halafu Poppe anakuja na majibu ya kibri na mkato. Simba kuna tatizo
 
Wakati mwingine natamani kuhama timu ila ndiyo siwezi
 
Klabu kukosa hela sio aibu, ni umaskini tu. Hata wewe au ndugu yako akikosa hela sio jambo la aibu, ni umaskini tu. Yanga na Azam zinaonekana zina hela, si ujanja wa viongozi wake, bali kuna mtu amekuwa anatoa tu hela zake binafsi kuendesha klabu, na wala si mapato ya klabu. Leo mfadhili akitaka kujitoa, watu wazima wenye familia zao wamampigia magoti, hiyo ndiyo aibu!
Mkuu kukosa hela si umasikini, bali umasikini ni kukosa mawazo ya namna ya kupata pesa.
 
Nilimshangaa sana Mohamed Dewji kutaka kuwekeza pesa zake Simba. Ni mara mia akaanzisha timu yake binafsi, akaikuza baada ya miaka minne itakuwa ligi kuu, ikiwa na viwanja vyake, Jezi zake, Wachezaji wake, nk na kuwa Big brand ya Soka hapa Tanzania na Ukanda wa Afrika.
Azam wameweza na wataweza zaidi na zaidi. Kwa nini MO Dewji asiige mfano huo?
Akisikia atakushangaa wewe zaidi. Mwenzio hanunui timu, ananunua mashabiki!!
 
Back
Top Bottom