kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,779
- 4,982
Miezi kazaa uko nyuma niliwahi kusema simba wao wanawekeza kwenye propaganda na wakati wenzao yanga wame focus na mpira
Usajili wa simba wote mnajua ulivyokuwa na vurugo sijui Che Malone
Sijui Onana mambo mengi ya kasemwa leo kiko wapi
Yaani nyinyi munabishana na watu ambao wameshawahi kuonja ile joto la final ya Caf
Alafu mnataka kujilinganisha nao eti kisa sijui robo robo final zenu hizi
[emoji2][emoji30][emoji23]
Sijui afrika super cup ni yakubwa tu wakubwa gani akina mazembe na enyimba ambao wamepoteza muelekeo wao [emoji2][emoji30][emoji23]
Acheni propagande ranking za Caf sio kitu hata kwenye ranking za fifa Barcelona ni bora kuliko Real Madrid