Tatizo la taa ya 'oil' kuwaka na kuzima

Taa ya Oil haiwaki kwa sababu Oil level iko chini ila inawaka kwa sababu Oil peessure haiko sawa.

Sasa kama huyu anakuambia kwamba Oil level iko sawa. Unadhani kwanini taa bado inawaka.

Oil pressure inaanzia kwenye strainer, Filter mpaka kwenye pump.
 

 
Yes oil nimepima. Nilijaribu kufuatilia pia humu JF kuna uzi wa 2017 mtu alikuwa na shida kama yangu baadhi wakachangia kwa kusema oil pressure inaweza kuwa na shida pia
Huyo mtu ni mimi hapa. Toyota Runx.

Ilikua hivi, nilizidisha kilometa za service. Kama 1500-2000 hivi. Nikaenda badirisha oil. Ndio tatizo likaanza.

Tatizo lilikua ni: Strainer (chujio) ya oil kule chini ya engine (sample) ilikua imeziba. Kwahiyo walisafisha tu.
 
Kuwa muelewa nilimwambia apime oil mwanzo kabla ya wewe kujibu. yaani mwanzo kabisa. na hawa wajinga au lugha tatizo " Check the oil level and add motor oil to the vehicle, if needed, and continue to monitor the light. If the oil was indeed low, the light should turn off."
 
Yes oil nimepima. Nilijaribu kufuatilia pia humu JF kuna uzi wa 2017 mtu alikuwa na shida kama yangu baadhi wakachangia kwa kusema oil pressure inaweza kuwa na shida pia
Huyo mtu ni mimi hapa. Toyota Runx.

Ilikua hivi, nilizidisha kilometa za service. Kama 1500-2000 hivi. Nikaenda badirisha oil. Ndio tatizo likaanza.

Tatizo lilikua ni: Strainer (chujio) ya oil kule chini ya engine (sample) ilikua imeziba. Kwahiyo walisafisha tu.
 
Oil iko low level hiyo ni alert , warning sign ya kukutaka uongeze oil

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lazima tumsaidie kwa kumpa trouble shooting kwanza sio kutaka pesa tu.
 

Practically ukiona hiyo taa imekuwakia sababu ya low peessure ambayo imesababishwa na low level basi jua oil imekabiria kabisa kuisha kwenye engine.

Kuna watu akija kumwaga inatoka lita moja tu kutoka lita 4 ambayo aliweka. Lakini ametembelea gari bila kumuwashia hiyo taa.
 
Yangu inajitokeza nikiwa naendesha ikiwa imesimama inazima kabisa
 
Juzi niliongeza oil lita moja na level ikawa full, kuhusu level ipo sawa
Umecheki sample haijagongwa? Umecheki ile knob imefungwa vizuri? Haivujishi? Kwanini uongeze lita moja tuu?
Oil unatakiwa umwage yote ..ndio uweke mpya kwa kiwango chake... Nashauri sana check knob kwenye sample
Kingine oil check engine ikiwa imepoa kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nipo Dodoma ndugu yangu
 
Sawa, nafikiria niende kufanya service kabisa nione kama hili tatizo litaendelea
 
Haya hapa ni majibu sahihi nenda kafanyie kazi
(1)Kacheki straner au chujio la oil hufungwa kwenye sample ili kuchuja oil,kifaa hiki kikiwa na uchafu husababisha oil kutopita vuzuri na taa ya oil itabrink
(2)Nenda kacheki switch ya oil,hiki ni kifaa kinasense oil kikifa basi taa ya oil it's brink
(3)Baada ya kujiridhisha vyote angalia vvti valve ikifa husababisha oil isiende kwa kipimo inachotakiwa.

Tafadhali hilo ni tatizo usipuuze
 
Ahsante ndugu
 
Bomoa cheki chujio la oil kama ni chafu oil inapanda kwa shida sana au haipandi kabisa ndio sababu ya kuwaka kwa taa
 
Nilikuwa na tatizo kama aliloainisha mleta mada kwenye IST na waliresolve kwa kufungua sample na kusafisha chujio
Na cha ajabu fundi wangu hata hakunidai pesa ya ufundi alifix gari na kuniruhusu niondoke
 

Any case ambayo inahusu VVT solenoid inawasha taa check engine na siyo taa ya Oil pressure.

Nmetoka kumrekebishia mtu gari saiv. Iliwasha check engine kupima ikaleta code hii

P0012: Camshaft Position A - Timing Over-Retarded (Bank 1)​


Retard na Advance za camshaft kwenye engine zinafanywa na VVT solenoid. So nikafungua hiyo solenoid na kukuta oil ya engine ipo kama tope.

Tumeflash, tumeweka Oil mpya tatizo limeisha.
 
Usibiomoe engine,nagari mengi siku hizo ni umeme mwingi,tafuta Fundi umeme wa uhakika na mengine utajua kuanzia hapo.

Shaft sio kweli kama oil IPO level yake na service kwa wakati haiwezi kuwa shaft.loose connection,fuse,oil pump,pole.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…