This is...
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 5,198
- 5,454
Kirusi ni yule mzee mpenda dili, ngono na madaraka.Kirusi hicho ni EX CEO.
Na sijui kwa nini ameng'ang'ania!Kirusi hicho ni EX CEO.
Kikiondolewa hiki kirusi Tanganyika itapona na itapata ahueni.
Hata mubadilishe Ma CEO mara elfu moja kama bado hiki kirusi kitakuba bado SCANNED ni bure.
Muacheni mzee kikwete apumzike. Hakuna mtu poa kama JK. Na hakutawahi kutokea rais bora nchi yetu iliyopata kuliko kikwete. Watanzania Mnapenda sana uvumi, porojo, majungu na chuki zembe halafu waoga kama nini.Kirusi hicho ni EX CEO.
Kikiondolewa hiki kirusi Tanganyika itapona na itapata ahueni.
Hata mubadilishe Ma CEO mara elfu moja kama bado hiki kirusi kitakuba bado SCANNED ni bure.
He was the most corrupt president and he is the most useless ex president!Muacheni mzee kikwete apumzike. Hakuna mtu poa kama JK. Na hakutawahi kutokea rais bora nchi yetu iliyopata kuliko kikwete. Watanzania Mnapenda sana uvumi, porojo, majungu na chuki zembe halafu waoga kama nini.
Kirusi ni nyie wenyewe wavivu na wachawi.
Hii ni post ya wenye vichwa.Muacheni mzee kikwete apumzike. Hakuna mtu poa kama JK. Na hakutawahi kutokea rais bora nchi yetu iliyopata kuliko kikwete. Watanzania Mnapenda sana uvumi, porojo, majungu na chuki zembe halafu waoga kama nini.

Tumuombe Kagame atusaidie,na ikitokea Kagame kafanya kweli kwa wakati huu,huo msiba watanzania watashangaliaKirusi hicho ni EX CEO.
Kikiondolewa hiki kirusi Tanganyika itapona na itapata ahueni.
Hata mubadilishe Ma CEO mara elfu moja kama bado hiki kirusi kitakuba bado SCANNED ni bure.
Unataka kusemajeTaifa ambalo robo tatu ya raia wake wanaamini "R" na "L" ni kitu kimoja litaendelea kupekewa moto hadi siku vyombo vya usalama viamue kuwasaidia
Vijana ukitoa mada za ngono na Simba na Yanga kichwani weupe mithili ya theluji ya mlima Kilimanjaro.
Exactly!He was the most corrupt president and he is the most useless ex president!