Tatizo la Tanzania ni ubinafsi na si tozo wala CCM

Tatizo la Tanzania ni ubinafsi na si tozo wala CCM

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
By nature Tz wamejawa na ubinafsi. Kila Mtu anamuwinda mwenzake.

Mtanzania anaweza kuiba serikalini, na Serikali inawaza kumuibia Mtanzania.

Hivyo nahitimisha kuwa Maisha ya kuwindana hayafai.

Chanzo cha tozo ni matokeo ya kuwindana na sasahiv tumepigwa KO
 
Chanzo Cha tozo Ni matokeo ya kuwindana na sasahiv tumepigwa KO
Naibu Spika na Mzee Chenge watakupa maelezo mazuri juu ya tozo. Kwa hiyo, jipange kuwasikiliza maana ndio hasa kwa nyakati tofauti walishikia bango jambo hili likapitishwa.
 
Back
Top Bottom