I ISAYA SANGA Member Joined Feb 9, 2013 Posts 18 Reaction score 1 Jun 7, 2013 #1 Jamani nina tatizo la tumbo ambapo maumivu ni mithili ya njaa lakini nimepima hosipitalini US inaonesha sinatatizo.msada
Jamani nina tatizo la tumbo ambapo maumivu ni mithili ya njaa lakini nimepima hosipitalini US inaonesha sinatatizo.msada
radiation JF-Expert Member Joined May 28, 2013 Posts 241 Reaction score 254 Jun 7, 2013 #2 kafanye test ya ulcers pamoja na choo
I ISAYA SANGA Member Joined Feb 9, 2013 Posts 18 Reaction score 1 Jun 7, 2013 Thread starter #3 OK nashukuru kwa ushauli wako. ila kwabahati mbaya nilifanya maludio ya hivi vipimozaidi ya maramoja lakini hakunakitu.
OK nashukuru kwa ushauli wako. ila kwabahati mbaya nilifanya maludio ya hivi vipimozaidi ya maramoja lakini hakunakitu.
mossad007 JF-Expert Member Joined Dec 21, 2012 Posts 1,165 Reaction score 852 Jun 7, 2013 #4 Nilipata tatizo km lako ikaonekana nna amoeba baada ya kuchek stool sample
I ISAYA SANGA Member Joined Feb 9, 2013 Posts 18 Reaction score 1 Jun 8, 2013 Thread starter #5 Jamani sina sababu ya kusema aksante kwa ushauri wenu nitau fanyia kazi.