Tatizo la tumbo lamda mlefu toka june 2012

Tatizo la tumbo lamda mlefu toka june 2012

ISAYA SANGA

Member
Joined
Feb 9, 2013
Posts
18
Reaction score
1
Jamani nina tatizo la tumbo ambapo maumivu ni mithili ya njaa lakini nimepima hosipitalini US inaonesha sinatatizo.msada
 
OK nashukuru kwa ushauli wako. ila kwabahati mbaya nilifanya maludio ya hivi vipimozaidi ya maramoja lakini hakunakitu.
 
Nilipata tatizo km lako ikaonekana nna amoeba baada ya kuchek stool sample
 
Jamani sina sababu ya kusema aksante kwa ushauri wenu nitau fanyia kazi.
 
Back
Top Bottom