K khalifa kijangwa Member Joined Jun 2, 2013 Posts 6 Reaction score 0 Jun 13, 2013 #1 naombeni ushauri. Juu ya hili mimi nimpenzi wa mpila sana.nimewahi kupata ajali nyinginyingi za tumbo nikiwa mpila. Ila siku moja nilipigwa teke la tumbo . Nikaanza kupata tatizo la kuvimba usoni mara kwa mara. Tatizo ni nini apo
naombeni ushauri. Juu ya hili mimi nimpenzi wa mpila sana.nimewahi kupata ajali nyinginyingi za tumbo nikiwa mpila. Ila siku moja nilipigwa teke la tumbo . Nikaanza kupata tatizo la kuvimba usoni mara kwa mara. Tatizo ni nini apo
Isaac Chikoma JF-Expert Member Joined Oct 25, 2011 Posts 475 Reaction score 101 Jun 13, 2013 #2 ungeenda kuchekiwa hospitali mkuu.