khalifa kijangwa
Member
- Jun 2, 2013
- 6
- 0
naombeni ushauri. Juu ya hili mimi nimpenzi wa mpila sana.nimewahi kupata ajali nyinginyingi za tumbo nikiwa mpila. Ila siku moja nilipigwa teke la tumbo . Nikaanza kupata tatizo la kuvimba usoni mara kwa mara. Tatizo ni nini apo