Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijawahi kupata tena typhoid na vibandani nakula kama kawaida,,, zamani ilikua nikila vitu vya njiani lazima typhoid iibuke ila tokea kipindi hiko sijawahi kupata na nakulaga sana wale pweza wa njiani na pilipili zaoAsante mkuu, Vipi shida yako iliisha jumla?
Dawa yenyewe unaopata hata jina pengine nikawa specific kwa wahaya Ili wajue nataka nini?Sijawahi kupata tena typhoid na vibandani nakula kama kawaida,,, zamani ilikua nikila vitu vya njiani lazima typhoid iibuke ila tokea kipindi hiko sijawahi kupata na nakulaga sana wale pweza wa njiani na pilipili zao
Umejuaje una Typhoid na UTI?Wakuu naanza kwa salamu zangu za dhati kwenu pia poleni na mihangaiko ya siku nzima ya leo.
Kabla sijaenda kwenye maada. Naanza kwa kusema kuwa najiona kuwa na bahati sana kuwa katika jamii ya siri kama hii ambapo kila mmoja ana ...
kwanza pole sana aise,Wakuu naanza kwa salamu zangu za dhati kwenu pia poleni na mihangaiko ya siku nzima ya leo.
Kabla sijaenda kwenye maada. Naanza kwa kusema kuwa najiona kuwa na bahati sana kuwa katika jamii ya siri kama hii ambapo kila mmoja ana uhuru...
Mkuu hakuna dawa za Hospitali zitakzo weza kukutibu hayo maradhi ya UTI na Typhoid nitafute mimi kwa wakati wako ili niweze kukutibia maradhi yako uguwa pole.Wakuu naanza kwa salamu zangu za dhati kwenu pia poleni na mihangaiko ya siku nzima ya leo.
Kabla sijaenda kwenye maada. Naanza kwa kusema kuwa najiona kuwa na bahati sana kuwa katika jamii ya siri kama hii ambapo kila mmoja ana uhuru wa kutoa mawazo yake bila kuhofia kutambulika katika jamii husika kitu ambacho kimafanya watu wawe huru sana kutoa mawazo na maoni yao ya siri juu ya maada mbalimbali.
Paso na kupoteza wakati wenu naomba nianze na kuelezea hili swala ambalo naliona kama kero kwangu.
Nimekuwa nikisumbuliwa na Typhoid na UTI ambazo zinarudi tena muda mfupi ( makadirio ya mwezi mmoja au miwili) baada ya kutumia dawa za hospitalini. Hii shida sikuwahi kuwa nayo nilipokuwa mtoto lakini ni haki ambayo imejitokeza nikiwa mkubwa. Nakumbuka nilipokuwa mtoto nilikuwa nakunywa hata maji ya bombani bila shida yeyote, lakini hali ilibadilika nilipojiunga na advance. Hali hii imekuwa endelevu mpaka imekuwa kero kwangu.
Nimetumia dawa karibia zote zinazohusiana na Typhoid na UTI. Baada ya kutumia kidogo napona lakini baadae naanza kupata dalili tena.
Nafikia kipindi naogopa pengine matumizi yaliyozidi ya dawa za hospitalini yataleta athari kwenye ini au figo.
Naomba kwa aneyejua dawa za asili Ili nipate kuwa natumia pengine zikanitatulia hili tatizo langu.
Natanguliza Shukrani zangu kwenu kwa usaidizi mtakaonipatia.
Nilikuaga na shida ya typhoid ya kujirudia ila nikapataga dawa za wahaya, kuna kipindi nilikua pande za Nkwenda kuna mwenyeji akaniagizia dawa toka kwa jamaa wapo boda ya mutukula, tokea kipindi hiko kama 2017 hivi sijawahi kupata typhoid tena hadi leo
Tokea hio 2017 hadi sasa sijawahi kuugua typhoid kabla ya hapo ndo ugonjwa uliokua unanisumbua sana
Labda utakuwa upo na upungufu wa wadudu wazuri mwilini, yaani microbiome yako imepungukiwa bacteria na wadudu wengineo.Nimekuwa nikisumbuliwa na Typhoid na UTI ambazo zinarudi tena muda mfupi ( makadirio ya mwezi mmoja au miwili) baada ya kutumia dawa za hospitalini. Hii shida sikuwahi kuwa nayo nilipokuwa mtoto lakini ni haki ambayo imejitokeza nikiwa mkubwa. Nakumbuka nilipokuwa mtoto nilikuwa nakunywa hata maji ya bombani bila shida yeyote, lakini hali ilibadilika nilipojiunga na advance. Hali hii imekuwa endelevu mpaka imekuwa kero kwangu.
Nimetumia dawa karibia zote zinazohusiana na Typhoid na UTI. Baada ya kutumia kidogo napona lakini baadae naanza kupata dalili tena
Tokea hio 2017 hadi sasa sijawahi kuugua typhoid kabla ya hapo ndo ugonjwa uliokua unanisumbua sana
Mbona na yeye kama anaumwa?
Sijajua nilishatokaga kule,,kuna jamaa wapo kule mutukula karibu na boda na Uganda ndo wanauzaHiyo dawa inapatikana kwasasa?
-Kaveli-
Sijajua nilishatokaga kule,,kuna jamaa wapo kule mutukula karibu na boda na Uganda ndo wanauza
ngoja nikuchekie mtu kuleJina la dawa? ama hint yoyote? ili kuweza kumuagiza mtu hapo boda mutukula.
-Kaveli-