swalehe de wise
New Member
- Oct 12, 2017
- 2
- 4
Ubakaji ni hali ya mwanaume kumuingilia mwanamke Kwa kutumia uume wake na kuweza kuupenyeza katika uke bila ridhaa ya mwanamke. Sheria za nchi pamoja na za kimataifa zinapinga na zinakataza hii hali ya ubakaji kwani ni kinyume na haki za binadamu.
Sababu zifuatazo husababisha wanawake kubakwa:
Wanaume kuwa na matatizo ya afya ya akili, Kuna wanaume wengi Kwa Sasa Wana changamoto ya tatizo la afya ya akili bila ya wao kujuwa hivyo kupelekea Kuna muda kufanya mambo ambayo wao huona sawa hata kama ni kinyume na sheria mwisho huchapwa na mkono wa sheria. Hili tatizo la afya ya akili hupelekea watu wengi kuingia katika tatizo la ubakaji.
Mazingira na mavazi, Kuna muda mwanamke na mwanamme hukutana katika mazingira yaliyo jificha Kwa mfano ndani ya nyumba lakini unakuta mwanamke ananguo au bila nguo ambapo husababisha kumvuta mwanamme kufanya jambo la ubakaji.
Ukosefu wa elimu, watu wengi hawana uwelewa katika maswala ya haki za binadamu hivyo hufanya tukio la ubakaji wao huona ni sawa na mwisho hupata fimbo katika mkono wa sheria.
Imani za kishirikina na potofu, watu wengi huamini sana Imani Fulani za kishirikina ambapo husababisha suala la ubakaji kuendelea kutokea Kwa mfano Kuna watu wanaaminishwa kumbaka mwanamke mzee kunaweza sababisha akapata utajiri, lakini mwisho atendapo kosa Hilo huangukia katika mikono ya sheria.
Ugumu wa maisha na kuitaji mafanikio Kwa kiwango Fulani, wanawake wengi huingiliwa na wanaume bila ridhaa yao kwasababu ya hali za zao au uhuhitaji wao, Kwa mfano mwalim wa chuo anaweza kumletea ugumu mwanafunzi katika ufaulu wake mwisho mwanafunzi anaingiliwa kimapenzi bila ridhaa yake ili tu aweze kufaulu.
Ulevi na kutokuwa na uwezo wa kutongoza, wanaume wengi wanatumia pombe kupita kiasi hivyo Kuna matukio Huwa wanafanya bila ya wao kutotegemea ikiwemo ubakaji, lakini pia Kuna wanaume hawana uwezo wa kutongoza na mwisho hujikuta wameingia katika wimbi la wabakaji.
MADHARA YA UBAKAJI.
Mimba za utotoni na mimba sisizo tarajiwa, Kwa watoto wa kike ambao wapo chini ya miaka kumi na nane wanapo kubwa na changamoto ya ubakaji na mwisho hujikuta wanamimba huangukia katika matizo mbali mbali ikiwemo; ✓kupoteza maisha.
✓kupata tabu wakati wa kujifungua.
✓kukatiza masomo yao.
✓kutokuwa sawa kisaikolojia.
✓kuongezeka wimbi la watoto yatima.
Hayo ni moja ya matokeo ya mimba za utotoni lakini pia hata watu wazima wanao zidi miaka kumi na nane pia hupata changamoto ikiwemo matatizo ya saikolojia baada ya kuwa na mimba isiyo na baba.
Husababisha kuenea Kwa magonjwa, tabia hii ya ubakaji imekuwa ni moja ya sababu inayo sababisha kuenea Kwa magonjwa ikiwepo magonjwa ya zinaa na ukimwi.
Kupunguza nguvu kazi katika taifa, wanawake wengi baada ya kufanyiwa hivyo wengine hufariki Kwa sababi mbalimbali ikiwemo kubakwa Kwa muda mrefu au kufariki Kwa msongo wa mawazo baada ya Hilo tukio au wengine hufariki Kwa sababu ya magonjwa.
NJIA ZA KUTOKOMEZA TATIZO LA UBAKAJI:
Kuwapa watu elimu kuhusu ubakaji na madhara yake, nashauri elimu itolewe kwanzia ngazi ya shule za msingi na kuendelea.
Vyombo vya habari na majukwaa mbalimbali ya habari, nguvu yao ni kubwa hivyo kuweza kuelimisha jamii juu ya madhara ya ubakaji kutasaidia kupunguza ukubwa wa tatizo au kuliondoa kabisa.
Kupunguza ulevi na kutibu matatizo ya afya ya akili kutasaidia kupunguza tatizo la ubakaji.
Wabakaji wapate fimbo ya mkono wa sheria kiasi jamii ijuwe kabisa ikitokea jambo kama Hilo basi adhabu yake haita kuwa na msamaha.
MWISHO: Serikali iangalie mfumo wa elimu na kuweza kurekebisha mtaala na kuweza kutoa elimu kuhusu madhara ya ubakaji kwanzia ngazi ya msingi na kuendelea, pia jamii ikubali mabadiliko Kwa kuelemishana wenyewe Kwa wenyewe, pia vyombo vya bahari kuelimisha jamii na kuanzishwa Kwa NG'O za kupigania na kupinga maswala ya ubakaji

Upvote
2