Ni jambo la kusikitisha kuona hadi sasa idadi kubwa ya wanafunzi wa shule ya msingi na hata sekondari wakiwa wanakaa chini katika shule zetu si mjini wala vijijini.
Japo tunapongeza jitihada za kuongeza madarasa bado inashangaza Sana kuona hao wataalam wa mipango wanashindwa kuona ukakasi wa kukabidhi majengo tupu.
Ushauri wangu ni kwamba, kwa kuwa bajeti ya darasa moja ni sh mil 20, tamisemi waongeze sh mil 2.5 kwa ajili ya madawati 25 au zaidi ya darasa na kuwa limekamilika kabisa.
Serikali iache mipango ya kutekeleza jambo nusunusu inayopelekea kutelekezwa kwa huduma husika.