Tatizo la uhaba wa Dollar ni kubwa

Tatizo la uhaba wa Dollar ni kubwa

Tatizo la dollar ni kubwa
Hazipatikani hizi PhD ni za nn?
Wananchi wanahaha.
Kifo Cha dollar hakikwepeki baada ya Dunia kuachana nayo, dollar ilitumika kuzishikisha adabu nchi zilizokuwa kinyume na USA.
 
Mbona viongozi wote hawafanyi jitihada hata kuruhusu basi huduma kulipiwa kwa Tsh. ...
Screenshot_20231209-232805.png
JamiiForums914827189.jpeg
 
Sisi tulianza kuuliza zamani sana

Ivi black market mzee siunawez ukaingizw mjin na wajanja ukapigw notes fake za kutosh,
Mim nazo sema naogop kwend black market nawaz niend tu bank sema na banks washenz rate ipo chini.
 
Ivi black market mzee siunawez ukaingizw mjin na wajanja ukapigw notes fake za kutosh,
Mim nazo sema naogop kwend black market nawaz niend tu bank sema na banks washenz rate ipo chini.
Huna dollars [emoji389] ww
 
Kifo Cha dollar hakikwepeki baada ya Dunia kuachana nayo, dollar ilitumika kuzishikisha adabu nchi zilizokuwa kinyume na USA.
Ona ngumbaru huyu. Kifo cha dollar alafu watu tunahaha kuzitafuta?
Kifo cha dollar na ndio inapanda thamani?
Tafuta uzi wa watu kulalamikia ukosefu wa Ruble ya Urusi au Yuan ya China tuone kama upo
 
Back
Top Bottom