Tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume limepungua nchini?

Tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume limepungua nchini?

ke bhana ukimpa mapenzi atataka muda ukimpa muda atataka pesa ukimpa pesa atataka ndoa ukimpa ndoa atataka talaka ukimpa talaka atataka mrudiane ili mradi tu aone unapata taabu
 
Kuna wakati kulikuwa na kelele nyingi sana na matangazo kila kona kuhusu tatizo la nguvu za kiume na tiba mbalimbali za kuongeza nguvu za kiume.

Sasa hivi ni kama harakati za kutafuta nguvu za kiume zimefifia sana, hazisikiki kelele nyingi katika vyombo mbalimbali vya habari au mitandao kuhusu masuala ya nguvu za kiume.
Kulikoni? Nini kimetokea hadi kupelekea harakati hizo kupungua sana kama sio kupotea kabisa?

Watu wameforcus kwenye kutafuta pesa
Hata hivyo wanawake wa kizazi hiki nao hawana nguvu hivyo imebalance
 
Back
Top Bottom