Tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume limepungua nchini?

Sio ni kwasababu humwandai vizuri?
Mtu ana stress za maisha hata umuandae kwa masaa 10 ni kazi bure tu coz akili yake inakua ipo kwingine,
Stress ndio adui mkuu wa hizo zinazoitwa nguvu za kiume na kike,

Love is the feeling,it all starts with your mindset.
 
Hapo nakubaliana na wewe,.

Lakini kwa namna nyingine naweza kusema huyo mtu labda hana hisia na wewe au hakupendi,. Maana ukiwa na mtu unayempenda sometimes stress zinapungua😃😂
 
Kuna kitu kilowahi kuvuma nchi hii kama habari za freemason na popo bawa?

Linatafutwa lingine watu waje kupiga pesa kama kawaida yao mana la nguvu za kiume wauza mitishamba walizipiga kweli
 
Yes limepungua baada ya ndugu zetu Congo kututatulia tatzo Kwa kuleta vumbi la kwao Kwa iyo sa hiv tunatumia ,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…