Tatizo la ukungu kwenye jicho la kuku, tiba yake ni ipi?

baba anjela

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2013
Posts
431
Reaction score
310
Ndugu zangu,

Kuku wangu wamekumbwa na tatizo la ukungu kwenye macho yao. Jicho alivimbi ,muda mwingi analifumba. Rangi ya kile kiini cheusi cha jicho kinakuwa kama kina ukungu.

Je, nitumie dawa gani?
 
Dalili nyingine wanazoonesha? Kuku wangu mmoja alikua na dalili hio na ikawa ni mareks
 
Ndugu zangu,

Kuku wangu wamekumbwa na tatizo la ukungu kwenye macho yao. Jicho alivimbi ,muda mwingi analifumba. Rangi ya kile kiini cheusi cha jicho kinakuwa kama kina ukungu.

Je, nitumie dawa gani?
Weka picha
 
Weka picha

IMG_20211211_123417.jpg
 
Huo sio ugonjwa ni tatizo la upungufu wa vitamins A. Kutibu hilo tatizo kuna dawa ya kuwapaka kwny jicho inaitwa 'Optclox' (ni tube flan hv) ukienda agrovet watakupa.

Kudhibiti hilo tatizo uwe una kawaida ya kuwapa vitamins za madukani.
 
Asante mkuu

Back
Top Bottom