naima79
Senior Member
- Feb 27, 2009
- 188
- 112
Habari wakuu,
Nina changamoto yapata mwezi sasa ulimi wangu umechubuka ulianza upande mmoja na umeenea kiasi mpk kwa mbele kabisa, nilienda hospital nikapewa cipro ya kumeza na Quadrajel ya kupakaa, hazijanisaidia kabisa, naomba ushauri wa Dr. yupi anafaa kumuona kwa tatizo hili? ni daktari wa meno au ENT au physician
Shukrani