Tatizo la ulimi kuchubuka linatokana na nini?

naima79

Senior Member
Joined
Feb 27, 2009
Posts
188
Reaction score
112
Habari wakuu,
Nina changamoto yapata mwezi sasa ulimi wangu umechubuka ulianza upande mmoja na umeenea kiasi mpk kwa mbele kabisa, nilienda hospital nikapewa cipro ya kumeza na Quadrajel ya kupakaa, hazijanisaidia kabisa, naomba ushauri wa Dr. yupi anafaa kumuona kwa tatizo hili? ni daktari wa meno au ENT au physician
Shukrani
 
πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Sio kila mwanamke n wa kumzamia.
Anyway, dawa ya kupaka kwenye ulimi ipoje? Sio kwamba dawa itaondolewa na mate?
 
Pole sana Dr.Wa ngozi pia anafaa kukushauri gentleman πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…