Tatizo la Ulimi

Tatizo la Ulimi

kingvan

New Member
Joined
Aug 26, 2013
Posts
1
Reaction score
0
Naombeni niulize; Eti Ugonjwa wa Ulimi kuwa na Mabaka meupe unasababishwa na nini na Dawa yake ni nini?
 
Madaktari wanajua zaidi ila mimi naona huo ni ungonjwa wa fangasi, na dawa zake zipo, muone daktari kwa matibabu
 
we mwehu ni PM mm nishapigwa ban sana tu humu na hii ni acc yangu ya sita sasa ww unataka na hii nipigwe ban...jiheshimu bana kwani nilikufanya nini? Mngese ww

wewe ningekua alshabab ningekua nimeshakumiminia risasi za hilo nduku lako..una shobo kama changu wa buguruni kimboka
 
Naombeni niulize; Eti Ugonjwa wa Ulimi kuwa na Mabaka meupe unasababishwa na nini na Dawa yake ni nini?

Ulimi kuwa na mabaka inaweza kuwa fungal infection inakuwa kama utando mweupe kwenye ulimi na pia sometimes mdomo unatoa harufu mbaya ila kuna tatizo la ulimi kutoka vile vibrash na kuwa na patches ambazo ziko soft hazina brash ila baada ya muda vinarudi tena inakuwa ni kitu kinachojirudia mara kwa mara hiyo haina dawa mkuu inakuwa kama tatizo la kurithi na haina matatizo kiafya ila kama ni fungal infection tumia Miconazole oral gel kutwa mara 2 au 3 kwa muda wa wiki 2 na pia meza vidonge vya Fluconazole 300mg kutwa mara 1 kwa siku 10.
 
Back
Top Bottom