Tatizo la Umeme kukatika kwa muda mrefu limerudi tena Dar es Salaam

Tatizo la Umeme kukatika kwa muda mrefu limerudi tena Dar es Salaam

MHP

Senior Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
112
Reaction score
211
Habari Ndugu zangu popote pale mlipo

Leo nimeingia Ofisini kwangu Mida ya saa 3 asubuhi ninakuta umeme umekatika. Na mpaka sasa ninapo andika ujumbe huu saa 7 na Daakika 55 mchana bado pakavu. Ndo najiuliza je, Tumesharudi Misri kwenye swala la upatikanaji wa umeme Mjini?

Maana katika kipindi cha Miaka kama 2 hivi tulikuwa tumesha sahau tatizo hili.

NI UBOVU WA MIUNDO MBINU ama HUJUMAAAAAAA?
😨😨😨😨😨😨😨😨😨😨😨😨😨
 
Back
Top Bottom