KIJICHO PEVU
Member
- May 4, 2024
- 69
- 49
Mgombea wetu wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dkt. ๐ฆ๐ฎ๐บ๐ถ๐ฎ ๐ฆ๐๐น๐๐ต๐ ๐๐ฎ๐๐๐ฎ๐ป, amesema moja kati ya dhamira na kipaumbele chake ni kujenga barabara za kiwango cha lami katika wilaya zote ili kuziunganisha na makao makuu ya mikoa yote nchi nzima.
Rais Dkt. Samia ameeleza hayo leo Jumatano Septemba 3,2025 wakati akizungumza katika mkutano wa hadhara wa kampeni za kusaka kura, uliofanyika Vwawa mkoani Songwe.
Mbali hilo, Dkt Samia amewaihidi Watanzania kujenga madaraja ili kupunguza changamoto mbalimbali zinazotokana na kutokuwepo kwa vivuko.
Akizungumza kuhusu madaraja, mgombea wetu Dkt. Samia ameyasema haya;
โNataka kusema madaraja yote na barabara ndani ya miaka mitano inayokuja tunakwenda kujenga"
"Lengo letu kuunganisha wilaya zote na makao makuu ya mikoa kwa kiwango cha lami"
โHii kazi inaendelea kufanyika, tutaendelea kuifanya hadi tuhakikishe wilaya zote Tanzania zimeunganishwa kwa barabara za lami na makao makuu ya mikoa"
Aidha Kuhusu suala la umeme, Mgombea wetu Rais Dkt Samia amewahakikishia wananchi wa Songwe kuwa kazi kubwa imefanyika kujenga njia ya kilovati 730 ya kusafirishia umeme kutoka Iringa hadi mkoa huo.
Dkt. Samia amegusia haya;
โKati ya kilovati 730, kilovati 400 zitatumika katika mikoa mitatu ukiwamo wa Songwe, zilizobaki zitauzwa kwa majirani zetu (Zambia)."
"Huu ndio mpango wetu ndani ya mitano, mbali na kuiunganisha Songwe katika gridi ya Taifa, lakini tunahitaji kujenga njii hizi"
#SafariYaCCM
#SafariYaUshindi
#OktobaTunatikiโ
#KaziNaUtuTunasongaMbele