Tatizo la umeme pekee linaweza kuiangusha serikali hii

Waandamanaji duniani kote wanalindwa na polisi
 
Kama ni ngumu kuiunga mkono chadema
Basi acha wananchi waendelee kuumia
 
Ahahahahaha! Kweli kabisa! Halafu viongozi walio madarakani wanawapongeza kwa kudumisha demokrasia! Ahahahahaha!!!
Ulitaka waandamanaje sasa
siasa sio uadui
Wewe unataka chadema watumie fujo uko tayari kujiunga na hizo fujo
Unataka wenzako waumie huku wewe umekaa nyuma ya keyboard tuacheni unafki
 
Ulitaka waandamanaje sasa
siasa sio uadui
Wewe unataka chadema watumie fujo uko tayari kujiunga na hizo fujo
Unataka wenzako waumie huku wewe umekaa nyuma ya keyboard tuacheni unafki
Kuna mahali nimezungumzia wafanye fujo?
 
Ni ngumu sana watu wengi kuelewa logic behind andiko lako. Ila ukweli uko hapa wazi watanzania tumetapeliwa; Upinzani ule wa Mwanzo sio upinzani tunaohuona sasa.

Unajua narrative iko wazi,wapinzani hawa walivishwa njaa kali sana wakati wa Magufuli na lengo ni kuwarahinisha, nakuhakikishia wanatepeta kwelikweli, na ni kweli walipitia chuma cha moto, wote ni mashahidi na kwa hilo nawapa pole. Sasa unajua adui muombee njaa, siku Mh Mbowe anatoka jela na kwenda moja kwa moja ikulu bila kupita popote na bila kuwa na mwakilishi yeyote wa chama chake, then tukaona vikao vya usuluhishi bila instant na reliable feeback of what exactly transpired in those closed door meetings.Pale ndipo nilipokata tamaa, waswahili wanasema kunusa harufu mbaya.

Kibaya tukasikia wapinzani wamelipwa malimbikizo yao yote ya miaka yote, wakaweza kujenga angalau kajengo ka chama, kiufupi Chama cha upinzania kikishaanza kuwa financed na chama tawala kwa njia yeyote ile basi hicho kinakuwa chama cha kuverify nchi ina utawala wa sheria na uchanguzi wa kidemokrasia.

Hakika tunasafari ndefu ya ukombozi wa mtanzania. Sitegemei hii safu ya sasa ya upinzani kuleta changes;the real changes.
 
Hivi unajua kuwa wewe, mimi na yule ndio tumewaajiri hao wanaoitwa serikali!?

Hivi unaweza kuwawajibisha serikali kwa huu ushenzi wa umeme kwa sasa!!??

Hapo ndipo linapokuja swala la katiba mpya ya wananchi ili sisi kama waajiri wa hao wa serikalini, tuweze kuwa na nguvu ya kuwawajibisha pale wanapokosea.

Chama cha siasa lengo kuu ni kushinda chaguzi na kuingia ikulu.

Kama unaona CHADEMA haina msaada kwa Watanzania, unaweza wewe kusaidia kama mwanaharakati.
 
Ubovu ulianza kipindi chake huyo unamuita mwamba. Huu ni mwendelezo tu. Na usitudanganye kuwa eti umeme ulikuwa haukatiki kipindi chake
Huku nilipo Mimi walikua hawakati km wakikata haizidi saa 1 unarudi sio hii ya masaa 13 bila umeme
 
Nilishaandika hapo nyuma, upinzani inabidi ubadilike, tatizo letu tunakosa vichwa zaidi vitakavyoleta vitu vingine vipya. Ni kweli kuna baadhi ya vichwa kwenye safu ya upinzani, ila haviwezi kutusua peke yao.

Tunahitaji vichawa vipya; mfano vijana wa TEHAMA watakaotranform policies, advocacies na strategies zao kitehama na kidigitali kwa kutumia platform zetu nyingi tulizonazo,, tunahita strategic thinkers , mind players, manipulators, hypnotizers watakaoweza kucheza na mindset weak za watanzania kuwatranform kwa kutumia real and recent life challenges zinazotukabili. Watanzania wengi hawawezi kulink umasikini, ujinga, taabu za maji, umeme, sukari na maisha duni na serikali iliyopo; wengi tunafikiri ni mpango wa Mungu au ni nature imetaka sisi tuwe hivi; tumeikubali hii hali ( STATUS QUE)

Hii ni golden opportunity kwa vyama pinzani, suala la umeme ni chance nzuri kushow-case the magnitude, the negative impact to our daily life, most importantly the alternatives if given the chance to lead, kwa sababu umeme ni eneo mtambuka na linagusa maisha yetu woote watanzania moja kwa moja bila kutofautisha tajiri na masikini;ingawa kiwango cha maumizu kinatofautiana.

Sijakataa katiba, ila je watanzania wengi wanaelewa logic ya katiba, ni wangapi hao? ila ukisema umeme, kila mtu anaelewa, ukisema njaa na umasikini kila mtu anaelewa, ukisema elimu duni kila mtu anaelewa, ukisema makazi hafifu, kupanda kwa ugumu wa maisha nakwambia kila mtu atakuelewa. Cha muhimu ni namna tunavyowasilisha hoja hizo, uchanguzi wa maneno na tafsida, ni wakati gani tunatoa hizi mada, platform zipi ni relevant, na tunazirudia mara ngapi kwa siku, kwa wiki, kwa mwezi , kwa mwaka?. Very very important.
 
Thank you for your literally analysis!
 
Misri. Tunisia, algeria
 
 
Aaah, ndivyo unavyodhani siyo?

Haya ni style hii kwamba, tunaandamana kwa kutembea na kisha tunakutana mkutanoni, tunahutubiwa kuelezea tunachotaka na baada tunatawanyika na kurudi nyumbani..

Kama wataendelea kutia pamba masikioni. Kama wataendelea kujifanya kuwa hii nchi ni yao na watoto na rafiki zao wezi wenzao, basi staili ya maandamano itabadilika..

Sasa yatakuwa ni ya kuelekea ikulu na bungeni. Hakutakuwa na njia ya kuingia wala kutoka mtu ktk ofisi hizo si Rais wala Spika au Waziri yeyote..

Najua una akili za kichawa, unajivunia bunduki za polisi na ukufikiri haiwezekani. Nakuhakikishia LINAKUJA na LINAWEZEKANA unless otherwise waondoke na wapotelee mbali huko waiache nchi yetu..

Mungu akiwa upande wa haki, upande wetu wananchi, ni atakuwa juu yetu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…