Tatizo la umeme wa solar kuisha haraka

Tatizo la umeme wa solar kuisha haraka

Hakuna mchawi hapo, Umenunua system ndogo sana capacity yake itakusumbua.

Mimi natumia solar kwa mwezi sasa nina panel 24 za watt 615 kila moja, Nina inverters 3 zenye MPPT zilizokuwa paralled kila moja ina 5.5Kw Jumla 16.5kW na Battery ya 14.5kw.

View attachment 3259016


Nawasha KILA kitu Fridge kubwa, Oven, Induction Cooker, Air Fryer, Microwave, Washing Machines na Computers, Routers mpaka machine za Welding etc na sijawahi kumaliza battery. Mpaka nimeacha kutumia gesi maharage nachemshia Induction cooker la 2500W.

Ukinunua usiweke system ya mawazo. Aim kureplace umeme wa TANESCO kwa ujumla ukichagua system ndogo utakuwa dissapointed
Safi sana
IMG_3639.jpeg
 
Inverter 5.3KW @ $400; lithium battery 100ah 48v @ $ 600! Kila inverter inabeba panel 9 za 560W @ $60. Hapo ni three phase! Kumbuka hii ni nyumba ya kulala si ofisi. Matumizi makubwa ya umeme ni usiku.
Sourced from TZ au online? Kama tungepata link ya kujitazamia window shopping mkuu.

Kwa residence battery ni jambo la msingi sana kwasababu consumption kubwa ni.kuda ambao jua hamna with the exception ya AC labda
 
Fundi alikwambia ununue betri la N200 ukanunua La N100, kwakifupi unatumia umeme wa betri kumbe solar panel nikwaajili ya kulichaji betri kwa msaada wa regulator, regulator kazi yake ni kuhakikisha umeme hauzidi ule unaohitajika kuchaji betri

Ili umeme wako udumu utategemea nguvu ya betri na ukubwa wa solar panel bila kusahau uwezo wa vifaa vya mtumiaji, kama vifaa vyako vinahitaji umeme mwingi basi umeme hautakaa muda mrefu

Hitimisho aina ya betri Ndiyo husabisha umeme wake ukae kwa muda mrefu lakini kama vifaa vyako vinattumia umeme mwingi, huo umeme utaishi haraka
Nilinunua N100 betry mbili jumla N200
 
Inverter nilinunua 100000 betry 250000 kwa moja charger control ya dukani 90000 kwa hiyo ya mtumba 130000 solar 370000 pamoja na usafiri niliagiza zambia niliambiwa huko wana exemption kwahyo bei rahisi.
Hapa ungechukua Zola by cash haya mambo yangekuwa mazuri kwako sana!! Wnakupa tv 32 inch, taa 15 umeme masaa 24
 
Nilinunua N100 betry mbili jumla N200
Mhe, kuna vitu lazima ufahamu;
1. Kila Mtanzania huwa ni mjuzi wa kila kitu, hata hapa JF unaweza jionea. Hivyo ukitaka kila kitu, kila mtu atakueleza ni fundi.
2. Solar System inatakiwa kwanza ujue matumizi yako ni kiasi gani; upo wapi na Panels utazifunga pande ipi. Hii nikusaidie unaweza kuanza design kwa kutumia hii (Bofya hapa Home )
3. Kila kitu huwa tunajifunza, na shule lazima ulipe Karo. Kwa wewe gharama ulizotumia ndiyo Karo ambayo itakufanya ujue masuala ya Solar la sivyo unaenda Mlimani unasoma Renewable Energy unaspecialize katika Solar.
4. Masuala ya Charger regulator yalishapita na wakati maana siku hizi ni kitu inaitwa SBG (Solar, Battery, Grid) unatumia panels kugenerate umeme; kukiwa hakuna jua, system inatumia batteries; batteries kama zimeisha nazo; unatumia Tanesco.
5. Baadaye
 
Back
Top Bottom