Tatizo la umeme wa solar kuisha haraka

Safi sana
 
Inverter 5.3KW @ $400; lithium battery 100ah 48v @ $ 600! Kila inverter inabeba panel 9 za 560W @ $60. Hapo ni three phase! Kumbuka hii ni nyumba ya kulala si ofisi. Matumizi makubwa ya umeme ni usiku.
Sourced from TZ au online? Kama tungepata link ya kujitazamia window shopping mkuu.

Kwa residence battery ni jambo la msingi sana kwasababu consumption kubwa ni.kuda ambao jua hamna with the exception ya AC labda
 
Nilinunua N100 betry mbili jumla N200
 
Inverter nilinunua 100000 betry 250000 kwa moja charger control ya dukani 90000 kwa hiyo ya mtumba 130000 solar 370000 pamoja na usafiri niliagiza zambia niliambiwa huko wana exemption kwahyo bei rahisi.
Hapa ungechukua Zola by cash haya mambo yangekuwa mazuri kwako sana!! Wnakupa tv 32 inch, taa 15 umeme masaa 24
 
Nilinunua N100 betry mbili jumla N200
Mhe, kuna vitu lazima ufahamu;
1. Kila Mtanzania huwa ni mjuzi wa kila kitu, hata hapa JF unaweza jionea. Hivyo ukitaka kila kitu, kila mtu atakueleza ni fundi.
2. Solar System inatakiwa kwanza ujue matumizi yako ni kiasi gani; upo wapi na Panels utazifunga pande ipi. Hii nikusaidie unaweza kuanza design kwa kutumia hii (Bofya hapa Home )
3. Kila kitu huwa tunajifunza, na shule lazima ulipe Karo. Kwa wewe gharama ulizotumia ndiyo Karo ambayo itakufanya ujue masuala ya Solar la sivyo unaenda Mlimani unasoma Renewable Energy unaspecialize katika Solar.
4. Masuala ya Charger regulator yalishapita na wakati maana siku hizi ni kitu inaitwa SBG (Solar, Battery, Grid) unatumia panels kugenerate umeme; kukiwa hakuna jua, system inatumia batteries; batteries kama zimeisha nazo; unatumia Tanesco.
5. Baadaye
 
Mimi natumia solar kwa mwezi sasa nina panel 24 za watt 615 kila moja, Nina inverters 3 zenye MPPT zilizokuwa paralled kila moja ina 5.5Kw Jumla 16.5kW na Battery ya 14.5kw.
mkuu kongole,,,hii system ni kwa ajili ya farm, kiwanda au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…