Tatizo la upakiaji maudhui Instagram katika tovuti kupitia kompyuta

isajorsergio

Platinum Member
Joined
Apr 22, 2018
Posts
4,143
Reaction score
6,560
Nakumbana na tatizo wakati wa upakiaji maudhui (Picha/Video) Instagram kupitia kompyuta. Nimetumia mbinu mbalimbali kuweza kutatua na kila jitihada pasi ya mafanikio, nawaza yaweza kuwa tatizo toka Istagram moja kwa moja. Kuna yeyote amekumbana na tatizo hili, Ipo namna ya kulitatua?

 
Officially Instagram kwenye pc hawana support ya ku upload picha au video. Tumia unofficial ways ku upload hiyo picha au video.


Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
 
Nafahamu hili! Kupitia picha niliyoambatanisha naonesha nimekwishatumia mfumo ng'amuzi kupata njia ya kupakia picha, hata awali nilifanikiwa. Tatizo hili limeanza ndani ya siku mbili.
 
Kwa computer umemaanisha pc? Instagram wana progressive web app store, ni alternative ya native app Inatumia web technologies.

Unaweza kwenda Microsoft store kama una windows 10 kudownload
 
Kwa computer umemaanisha pc? Instagram wana progressive web app store, ni alternative ya native app Inatumia web technologies.

Unaweza kwenda Microsoft store kama una windows 10 kudownload
Progressive Web App Store nilikwisha ipakua lakini utendaji wake haulidhishi hasa katika mdoule na upakiaji video. Sasa nimefanikiwa kupitia mfumo wa web kwa njia tofauti. Thanks mate!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…