Tatizo la upele Kidevuni: Chanzo na matibabu yake

Tumia viwembe safi na ukwangue kila asubuhi baada ya kuoga hata kama haziota sana. Kisha paka aftershave. Hii imenisaidia nilikua na tatizo hilo.
 
Mkuu mm nilikuwa na tatizo la upele kwenye kisogo nyuma ulinisumbua sana mpaka nikashuliwa kuchoma mionzi kwani walisema aina dawa yyte lakini namshukuru mungu nilipata dawa moja ilinisaidia sana had now nimepona hata sikutegemea kiukweli iwe na joto ukaona muwasho ulivyo kwahyo hta juzi nilibugi nikanyoa kwa gillet asee nilipata vipele vbaya lkn mara nying nilikuwa natumia salon lkn siku hyo nilikuwa mbali na saloni nilipo acha ndevu kwa kipindi cha wiki moja na nusu ili vipele vipungue uku nikitumia dawa hiyo ya gentriderm ambayo nilikuwa naitumia kwenye kisogo naona nimepona jalibu mkuu inauzwa 3500 au 3000 utanipa jibu usitumie pesa yako nyingi italiwa bure bila mafanikio ile unapaka kama mafuta kidogo tu wala aiwashi ni tube
 
Magic Powder zina madhara gani wadau? Mimi nilizitumia miaka ya nyuma nikaacha sababu nilikuwa bado naendelea kutoka vipele.
 
Hiyo gentriderm inapatikana pharmacy mkuu? Sio cream?
NIliwahi kutumia gentrosone lakin haikusaidia
 
Piece of advice, ukinyoa uwe unaangalia direction ya nywele unanyoa kulingana na uelekeo wake usinyoe upande tofauti mfano nywele zimeota kuelekea juu basi nyoa kuelekea juu inasaidia kutotokewa vipele
Naona umezingatia unyoaji wa kinena mkuu.

Kinena ni tofauti na kidevu ujue,
 
Fuata Ushauri wa Mkuu.@kwenda21 nunuwa Mashine unyolee ndevu, usinyolee ndevu Kiwembe.
 
Kumbuka ( mungu ) kakupamba kwa ndevu wewe hutaki kupambika yawezekama pia ( mungu ) anaonesha uwezo wake jipambe kwa ndevu punguza kidogo ziwe safi bas inatosha.
 
Nywele zote ukizinyoa tofauti unapata vipele hata kwapa.....
Mie mwenyewe nna ndevu

Ngoja niweke picha zako hapa ili ambao hawajawahi kukuona wakuone na ndevu zako dear
 

Attachments

  • 1452402236766.jpg
    6.3 KB · Views: 127
  • 1452402246720.jpg
    11.6 KB · Views: 86
  • 1452402255291.jpg
    10 KB · Views: 96
  • 1452402266479.jpg
    8.4 KB · Views: 89
Nipo changanyikeni. Ubungo naupata sehemu gani niununue kesho

Kimara - Mbezi - Ubungo = Jack- 0755155782

Jack yupo Kimara Rombo lakini amejitolea kufanya delivery mpaka Mbezi Mwisho na Ubungo.
 

Sasa spirit si inadumaza kidevuuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…