Tatizo la upele Kidevuni: Chanzo na matibabu yake

pole sana kwa tatizo hili kuna sabuni inaitwa ANATIC HERBAL ESSENCE SOAP ni kiboko ya hilo tatizo na matatizo mengi ya ngozi. waweza kunitafuta kwa namba 0657317631 nikuelekeze kwa kuipata.
 
Ziache ziwe zinaota kwa level kiasi sio unankwangua zikiwa ndogo na kama ikiwezekana ziachie tu mzee vipele utavisikia
 
Ishu nyingine zinyoe kutokana na uotaji na uelekeo wake ukienda against haviachi mzeeeee.... ZIFUGE TU
 
Kulikuwa na haja ya kuweka sura kweli tena na pozi juu. Kesho ukiikuta kwenye mitandao ya mashoga usishangae, unless ilikuwa ndio dhamira yako, kuuza sura.

Jamaa yngu sura haiuziki hyo,bitaiuza vip sasa
 
Mkuu naona mpaka umefungua na ID kabisa.
Any way ngoja nikupe kaushauri kidogo.
1. Ukinyoa ndevu tumia mashine nzuri, usitumie mashine zinazokwangua ngozi tumia zinazonyoa ndevu..naimani umeelewa hapo namaanisha kitu gani. Au tumia magic powder kama unaweza.

2. Ukimaliza kunyoa jifute kwa kitambaa cha maji moto.

3. Then, jipake After Shave.


Baada ya hapo utaleta mrejesho
 
Kwa hiyo ww ulitaka tuzoom hizo picha ili tuone hayo mapele au . Tafuta after shave kuna ya lotion na nyingine kama mafuta hii ya lotion unapaka kama mafuta kwenye ndevu na hiyo nyingine unapaka kwa dakika kadhaa ukishamaliza kunyoa ndevu then unaosha kwa maji !!
 
P1 kaka,Naxhkuru kwa uxhauri wako
 
Nunua dawa inaitwa Pamp Patrol , nenda duka la vipodozi.

Hiyo ni dawa ya kutibu vipele. Fanya hivyo chap
Asipo elewa hapa tena!!
 
Epuka kutumia mashine za ndevu,
Nenda kanyoe saloon au tumia magic powder.

Nilwahi kuwa muhanga ila baada ya kufuata hiki nikasahau kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…