Tatizo la upele Kidevuni: Chanzo na matibabu yake

Tumia bump patrol,ni nzuri sna kaka mkubwa imenisaidia!!inakausha vipele
 
Analeta posa kwanza kisha anamalizia mahariπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ


Hakuwa na maana hiyo, ni misspell hiyo!!🀣🀣🀣.

Nadhani alikuwa anauliza hivi; -- ""unatumia njia gani kunyoa hizo ndevu zako??"
 
Vipele vinatoka kwasababu ya kunyoa kwa kiwembe au Kama ni mashine basi kinyozi anakwangua kabisa ndefu. Huko kukwangua ndipo kunaleta hivyo vipele.

Kama unanyoa na kiwembe Acha kabisa na Kama unatumia mashine mwambie kinyozi asikwangue ndevu anyoe tu kama anavyonyoa kichwani.
 
Acha ndevu zijitawale
Wewe una asili ya ngozi ngumu,kwa hiyo hata utumie dawa za aina gan,vipele vitatoka tu
Jambo la msingi usinyoe ndevu kama unavyonyoa,punguza tu
 
Pole sana kiongozi kwanza napenda nikushauri kabla ya kupata tiba kwanza tafuta kujua sababu ya wewe kutoka vipele. Usikimbilie kutibu vipele.

Hilo tatizo ni common sana kwa watu wengi, lakini wengi huwa wanakimbilia madawa na wanashindwa,

Nakushauri kwanza tatizo hili husababishwa na friction ya mashine unazotumia wakati wa ku shavu. Unakuta mtu anakwanguliwa na mashine ilikutoa nywele zote,

Jaribu njia hii kuzuia

1. Tafuta salon moja utakayokuwa unaenda kushavu.

2. Hakikisha unaponyoa ndevu usizitoe zote na kinyozi asiku kwangue ngozi akunyoe juu juu tu.

3. Hakikisha mashine anayotumia ni safi kama utapata ya kwako kwaajili ya ndevu itapendeza.

4.osha kidevu chako kwa maji ya uvuguvugu baada ya kunyoa.

5.kunywa maji ya kutosha

NB
Kwa sasa kwakuwa ngozi imeharibika acha kwa muda wa mwezi 1 usinyoe ndevu, ngozi itarudi kwenye hali yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…