Tatizo la upele Kidevuni: Chanzo na matibabu yake

Unaweza kuwa unyoa kwa Shaving Magic alau Mara moja kwa wiki. Hii kitu imewasaidia baadhi ys watu ninao wafahamu na Mimi nikiwa ni mmojawapo.

Ahsante
 
Wewe ndio kwanza umeota ndevu na ulichojichanganya ulianza kuzinyoa kwa hizi nyembe za kawaida.

Sasa fanya yafuatayo and thank me later:

1. Punguza kunyoa mara kwa mara. Nyoa at most 2x kwa mwezi, if possible 1x only.

2. Acha kunyoa kwa nyembe za kawaida, kanyoe saloon. HATA KAMA UNA MSHINE YA UMEME KWAKO DONT USE IT, NENDA KANYOE SALOON.

3. Usitumie dawa yoyote kwani utazid kuongeza tatizo.

4. Acha kuviwaza hivo vipele. Najua zinakutesa sana kisaikolojia hizo ndevu, ukichanganya na hayo mapele ndio kabisa unadata mpaka nahisi umekosa confidence mbele ya public. Sasa wewe usiviwaze na fanya mambo yako as if nothing is happening.

5. Kama una demu mwambie awe anakuchezea hayo maeneo.


Na log off.
 
Pole sana mkuu
Niliwahi kua na tatizo kama lako na nikatumia dawa zaidi ya 40 (za viwandani, mtaani, matunda n.k) lakini sikupona, zilikua zinanisadia kwa muda lakini bdae hali inaendelea…

Ushauri:
Niliacha kunyoa ndevu zote, nikawa nazipunguza tu na tatizo likaisha kabsa
 
Kingine kwenye hivyo vipele kuna nywele ndani yake imeota,jaribu kuvitumbua utakuta nywele na vitakauka.
Kitu anachopaswa kujua ni kuwa ukiamua kuwa mnyoaji ndevu,uwe unanyoa kila siku na hili wengine kwao ni ngumu,ndevu kama alivyosema Prince Kesh Jr hapo juu, ukiruka siku moja na kama hizo sehemu ulizonyoa ulijikata ile ndevu ikianza kuchomoza hua inafunikwa na jeraha linalopona, na kinachotokea ni kipele, ambacho ili kiachie inabidi utumbue kwa kitu chenye ncha kali ili kuruhusu ile ndevu itokeze.

Sasa ili uwe salama,unapomaliza kunyoa paka aftershave kama vile Oldspice au Denim,achana na aftershave za elfu au elfu2 hazifanyi kazi vizuri,na hiyo iwe ni kila siku iwe ni jioni au asubuhi hutapata vipele....
 
Tatiza ni kuwa sisi tuko wengine tuna nywele ngumu sasa ukinyoa kwa kukwangua zote huwa ngozi kama inavimba kwa ile distance ya mkwaruzo wakati wa kunyoa.

Sasa hii inasababisha yale mashina ya nywele zilizokatwa kuwa chini ya ngozi na kuanza kutoboa njia nyingine wakati wa kuota
Hii hupelekea kupatwa na vipele ambavyo vinasababishwa na michomo ya zile mashina zinazotaka kuota lakini zinatoboa njia nyingine
Dawa nikunyoa lakini tumia mashina ambayo hutakwaruza lazima hakikisha unaziacha kama vile zinaota na usikwangue hadi chini sana.

Maana yake ngozi inavimba na yale mashina yanapoteza uelekeo wa ile ya zamani na yanatoboa njia nyingine. Hili tatizo huwa haliwapati kabisa wale wenye nywele laini kama wahindi waarabu na wengine kama hao. Hiyo ndo dawa na wengine tukinyoa kile kipara cheupe cha wembe lazima vipele vitokee na tatizo ndo hilo

Au fuga ndevu kama vijana wa sikuhizi naona kila mtu kaacha ndevu
 
Unaweza kuwa unyoa kwa Shaving Magic alau Mara moja kwa wiki. Hii kitu imewasaidia baadhi ys watu ninao wafahamu na Mimi nikiwa ni mmojawapo.

Ahsante
Sasa c nitatonesha vdonda ambavyo bdo havijakauka na kupelekea either skin cancer mkuu, Au ww unalionaje hilo
 
Ahsante Sana mkuu kwa ushauri wko mzur ila cna demu wote wananikimbia kwa vdonda hivi vilivyokosa matibabu
 
Nashkuru sana kwa ushauri itabid nijikaze kidume coz zikichomoza tu huwa zinawasha sana mpka nakosa aman
 
I think tube zote nimezitumia lkn zimedunda
 
Badilisha style, tumia wembe na old spices after shave. Ndivyo ilimsaidia mtu wangu
mh, nyembe mkuu ndio atatoka mapele makubwa makubwa, hapo namshauri asinyoe kwa muda kama miezi miwili aache kidevu kipumzike, na akija kunyoa anyoe uelekeo wa ndevu asinyoe viceversa, halafu pia asikwangue ndevu zote/kipara
 
Nyoa kwa mkasi mzee baba ni njia salama kuliko zote!

Acha kutumia viwembe hivyo utafanya ngozi ya uso iwe kama gamba la chura!

Acha kabisa viwembe na mashine za saluni!

Tumia mkasi safi na unyoe kwa juu juu tu!

Utakuwa smart!
 
Pole sana Mkuu! ili kukausha na kuondoa hayo mapele haraka chukua Maji ( vikombe 3) weka Chumvi ( vijiko 3 vya chakula)), chemsha , ya kichemka chukua kitaulo anza kujikanda kuzunguka eneo lote la kidevu na mashavu.
fanya hivyo kwa siku 3-5 asubuhi na usiku, pia fanya hivyo kila baada ya kunyoa. Hapo tatizo kwisha. Utaleta mrejesho
 
Ahsante, hyo tiba ngoja nianze Léo mzee baba
 
Ukimaliza kunyoa tumia kitaulo cha maji moto kujikanda kisha ukimaliza pakaa mafuta ya nazi.
Na pia unaponyoa fatisha uelekeo wa nywele zilipolalia
 
Nenda farmacy kubwa kubwa hasa Kariakoo maduka ya jumla tafuta kitu inaitwa Neo Medrol ukishanyoa paka mara 1 au/na kila siku asubuhi.

Lete mrejesho hapa.
 
I feel sorry for you brother
I have been in your situation... really is boredom and very appealing.

Kindly take seriously this advise

First stop shaving to normal kitaa saloon. Just go for barber shop those saloon with sterlizing facilities.

Second, try this product after shave lotion called Ashers (small bottle with yellowish lotion)

Thirdly..take look if you have any allergy with the chemical product you are applying to your face such as lotion, cream, soap , spirit or powder. If any! please cut it off.

These few measures reccured my handsome face

Don't forget to come and thank me

Kind regards
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…