Habari wanaJF,
Familia yangu hususani mwanangu wa kike amekuwa akisumbuliwa na muwasho wa vipere vidogo vidogo ambavyo sometimes hutoa maji kidogo pindi vikikunwa sn, nimeshamfanyia full blood picture ikaonyesha ana-contaminationa ya level 14; nimejaribu dawa zote kuanzia kupaka hadi ya kumeza but haijasaidia. mwanzoni hata mm nilianza kuwashwa but ya kupaka sonadem ambayo hata yy nshawahi kumpaka nilipona;
je naweza elekezwa nn kifanyike zaidi ili mwanangu apone?