Tatizo la upere nini chanzo na tiba yake

Tatizo la upere nini chanzo na tiba yake

Bateko

Senior Member
Joined
Jun 26, 2011
Posts
106
Reaction score
16
Habari wanaJF,
Familia yangu hususani mwanangu wa kike amekuwa akisumbuliwa na muwasho wa vipere vidogo vidogo ambavyo sometimes hutoa maji kidogo pindi vikikunwa sn, nimeshamfanyia full blood picture ikaonyesha ana-contaminationa ya level 14; nimejaribu dawa zote kuanzia kupaka hadi ya kumeza but haijasaidia. mwanzoni hata mm nilianza kuwashwa but ya kupaka sonadem ambayo hata yy nshawahi kumpaka nilipona;
je naweza elekezwa nn kifanyike zaidi ili mwanangu apone?
 
Vipere au Vipele
 
Vipere vinasababishwa na bacteria(p.bacteria,bt c aina yote ya vipere vingi) so anawe uso thrice or more a day in so doing those bacteria will b xposed 2 oxygen na watakufa ,she can use persol gel 2.5 inasaidia but 1st ausikilize ushauri wa mfamasia atakayemuhudumia!
 
Pole sana kwa mtihani alopata mwanao Inshallah Mola atamuondoshea!

Upele ni kweli unatokana na urithi lakini kuna baadhi ya upele hautokani na urithi ila unatokana na hali ya hewa ilivyo wakati mwengine hutokana kwa kuashiria maradhi flani kwahivo upele unatokana kwasababu tofauti.

Kwa vile umeenda kuonana na wataalamu ukapata dawa haikuweza kumsaidia basi Inshallah mpake asali mwanao katika hizo sehemu anazofanya upele Inshallah upele utamuondoka.

Dawa nyengine mpaka mafuta ya habat Sawda! kwa kiingereza inaitwa (Nigella sativa oil)Inshallah itamsaidia

Au hii Dawa Uchukue kitunguu Saumu Ukitwange mpaka kiwe laini kisha Uchukuwe maji ya moto Uoshe sehemu zenye vipele Ufanye kama Unasugua . kwa uwezo wa Allah atapona.
 
Back
Top Bottom