Tatizo la upungufu wa shahawa.

Tatizo la upungufu wa shahawa.

Mbangubangu

Senior Member
Joined
May 6, 2013
Posts
188
Reaction score
69
Wadau naomba ufafanuzi na tiba.Mimi ni jinsia Me.umri kati ya 30's tatizo langu ni kwamba nikifanya mapenzi round ya kwanza na ya pili mambo yanakuwa vizuri tatizo ni kuendelea hapo uume unasimama na naendelea kufanya mapenzi vizuri tu ila kupata bao jingine ni shida.hii inanifanya nikose raha kabisa.msaada tafadhali.
 
Huna akiliya mapenzi na hujui mana ya ngono, kwani we unataka mabao mangapi ili nikushauri mana we nyau
 
cdhan km hilo ni tatizo lakini pia cjui km uwingi wa mabao ndo sifa ngoja niwasikie na wengine,4 me just be simple na fanya mambo hayo kwa raha na c karaha kwa mwenzio! unaweza kumpa bao 1 na akaridhika vzr just be creative in doing...........
 
kuzini nimeacha miaka nane nyuma.bao tatu me ndio naona poa.acheni matusi jamani kama unashindwa kuchangia kistarabu si upotezee.
Mada hii nimeileta coz kuna jamaa wanasema wao hadi 7 wanafika kwa one night kama ajafanya mapenzi mda hapo nikapata wasiwasi au vyakula ninavyokula ni makapi?
 
Pole sana hizo ni chai tu hakuna lolote, ndugu yangu we ni kamili tena ile mbaya,fanya kwa raha si komoana,usifuate maneno ya watu utaumbuka oh!
 
ushauri wa ukweli.
1.no sembe,tumia dona
2.mboga nyngi uwezavyo
3.juis ya machungwa glasi 10 #1day
4.mazoezi (asubui,jioni not gym)
5.maji lita 2 #1day
6.usafi
7.asali mbichi uwezavyo
8.no pornograph
9.zungumza na mwenzako.......»
typing error unable ta continue
 
karanga nakula za kukaanga mbichi siwezi.korosho najitahidi kula sana.matokeo yake ni kwamba goli la kwanza linakuwa jingi na zito.la pili sio shida kuendelea ndio hakuna goli.ngoja nijaribu kufuata ushauri mwingine ulio tolewa hapa.Ntakuja na majibu.
 
ushauri wa ukweli.
1.no sembe,tumia dona
2.mboga nyngi uwezavyo
3.juis ya machungwa glasi 10 #1day
4.mazoezi (asubui,jioni not gym)
5.maji lita 2 #1day
6.usafi
7.asali mbichi uwezavyo
8.no pornograph
9.zungumza na mwenzako.......»
typing error unable ta continue

Ushauri murua bila shaka unamfaa muhusika.
 
Wadau naomba ufafanuzi na tiba.Mimi ni jinsia Me.umri kati ya 30's tatizo langu ni kwamba nikifanya mapenzi round ya kwanza na ya pili mambo yanakuwa vizuri tatizo ni kuendelea hapo uume unasimama na naendelea kufanya mapenzi vizuri tu ila kupata bao jingine ni shida.hii inanifanya nikose raha kabisa.msaada tafadhali.

Aisee kumbe bado mzima hivi...kuna wengine wengi akishapiga kimoja anasikia maumivu ni kama uti wa mgogo unataka kuchomoka. Mshukuru Mungu kwa hali uliyo nayo.
 
Back
Top Bottom