Mbangubangu
Senior Member
- May 6, 2013
- 188
- 69
Wadau naomba ufafanuzi na tiba.Mimi ni jinsia Me.umri kati ya 30's tatizo langu ni kwamba nikifanya mapenzi round ya kwanza na ya pili mambo yanakuwa vizuri tatizo ni kuendelea hapo uume unasimama na naendelea kufanya mapenzi vizuri tu ila kupata bao jingine ni shida.hii inanifanya nikose raha kabisa.msaada tafadhali.