Mbangubangu
Senior Member
- May 6, 2013
- 188
- 69
Huna akiliya mapenzi na hujui mana ya ngono, kwani we unataka mabao mangapi ili nikushauri mana we nyau
Pole sana hizo ni chai tu hakuna lolote, ndugu yangu we ni kamili tena ile mbaya,fanya kwa raha si komoana,usifuate maneno ya watu utaumbuka oh!kuzini nimeacha miaka nane nyuma.bao tatu me ndio naona poa.acheni matusi jamani kama unashindwa kuchangia kistarabu si upotezee.
Mada hii nimeileta coz kuna jamaa wanasema wao hadi 7 wanafika kwa one night kama ajafanya mapenzi mda hapo nikapata wasiwasi au vyakula ninavyokula ni makapi?
Wadau naomba ufafanuzi na tiba.Mimi ni jinsia Me.umri kati ya 30's tatizo langu ni kwamba nikifanya mapenzi round ya kwanza na ya pili mambo yanakuwa vizuri tatizo ni kuendelea hapo uume unasimama na naendelea kufanya mapenzi vizuri tu ila kupata bao jingine ni shida.hii inanifanya nikose raha kabisa.msaada tafadhali.